[emoji23][emoji23][emoji23] Big bro acha kujichanganya kwamba eti DAR CBD kuna three blue buildings, simamia ukweli bhana.. and guess what CBD zenu zote tatu hakuna hata CBD moja inayoweza Toshana na posta pekee.. heb nisiongee sana tuende ground [emoji116]
View attachment 1979497View attachment 1979498View attachment 1979499View attachment 1979501View attachment 1979506sasa na wewe unioneshe hiyo CBD kenya inayowezana na posta pekee ..na je Posta kuna majengo matatu ya vioo tu.?
[emoji23][emoji23] Apa yenyewe unaniacha hoi sana nyie kenyans mjue kutofautisha Kati green spaces na mapori, Dar CBD Iko na green spaces pia hizi hapa [emoji116]
View attachment 1979517View attachment 1979523ona vile green spaces[emoji3516] zinafaa kuwa in CBDs .. alafu tofautisha na hii [emoji116]hapa ni porini kabisa jamani
View attachment 1979527na hizo CBD zenu zote zinaonekana kwenye hii picha moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1979525