Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni kama Westlands District pekee. Dar commercial center ni ndogo sana. That's why almost all regional office for East and Central Africa zipo Nairobi.

Really
Say that to someone who doesn’t know Nairobi
Attached is the entire Nairobi with Everything included
IMG_4755.jpg

IMG_4750.jpg

IMG_4751.jpg
 
Kiswahili tupu, maneno empty.., Dar hii hapa developed area yake yote.., outside here nothing to measure up.., ama bado utapinga? kila jengo la maana Dar ndani.., eti density kumbe wamesanya mijengo yao yoote sehemu moja.., nje ni uswazi kote kote
View attachment 1978214
kwa hiyo hiyo na hako kapicha kachafu low quality ya dar ndiyo imeishiia hapo?

kweli ni ndogo aisee,yaani nairobi ni kubwa sana imedevelop kinoma noma mazee
 
hata hujielewi endeleeni kutumia hivyo vipanya mpaka mtokwe na vibiongo,,

kwenye sekta ya usafiri Tz tumewaacha wenzenu huwa tuna update public transiportation kulingana na mahitaji pia na mda,
unapanda public transiport hiace NAI-NAI
kenya ni vipanya Country
Fafanua maana ya sector ya usafiri? ama unadhani ni mabasi eti? 😂 😂 😂 😂 kuna rail, air na road yoote kwa ujumla ni sector ya usafiri.., wewe unamaanisha nini?.., na pia connectivity and efficiency.., Tanzania mtangoja saaaana..,
 
Fafanua maana ya sector ya usafiri? ama unadhani ni mabasi eti? kuna rail, air na road yoote kwa ujumla ni sector ya usafiri.., wewe unamaanisha nini?.., na pia connectivity and efficiency.., Tanzania mtangoja saaaana..,
ushamba siyo mzuri,uwe unajiongeza ukiambiwa umepitwa kwenye sekta flani haimaanishi umepitwa kwa 100%
mfano:usafiri wa majini tumewaacha mbali,usafiri wa barabarani tumewaacha mbali
 
Hizi zinafika hadi Mombasa in 2021 nimeziona pale mwembe tayari stage ya dala dala za Tz, wamejaza mizigo hadi juu na watu ndani wanatoa jasho! wacha wewe..,
file-20190122-100279-1e1wh05.jpg

images


Kisha fahamu

Dar es Salaam’s new rapid bus system won international acclaim – but it excludes the poor

file-20190122-100279-1e1wh05.jpg

Daladalas stuck in traffic. CokeeOrg/Flickr., CC BY-NC-ND
Despite investments of US$150m for the first phase of BRT, the poor are still stuck in traffic on cheaper buses every day. By contrast, those who are wealthy enough to afford the higher fare have the option of cutting travelling time by two hours a day. Roughly 70% of Tanzanians live on less than 4,400 Tanzanian shillings a day, (that’s less than US$2). Yet a two-way commute along the main branch of the BRT would cost 1,300 shillings – that’s a staggering 30% of poor people’s daily income being spent on transport. By comparison, the same commute by daladala would have cost 800 shillings.

What’s more, the lack of jobs is a major problem in Dar es Salaam, as in many other metropolises in developing countries. Since BRT buses can carry more passengers than minibuses, about ten daladalas will be displaced by each BRT bus. This will have devastating consequences for the 20,000 to 30,000 people employed in public transport. There are currently no plans to address the fate of these workers.

BRT advocates commonly praise it as a financially self-sufficient bus transport system. But BRT in Dar es Salaam, as elsewhere in the world, is not sustainable without public subsidies – even with its current high fares. Whether or not the Tanzanian government is willing to subsidise the system remains to be seen. But in a country with very limited public resources, doing so would divert funding from other vital development needs.
Hivi unajua Vodacom Tanzania walibadilisha logo pamoja na rangi zaidi ya miaka kumi iliyopita!
Leo huchomoki.
 
Really
Say that to someone who doesn’t know Nairobi
Attached is the entire Nairobi with Everything included View attachment 1978223
View attachment 1978224
View attachment 1978225
Wacha nikusaidie.., hii yako ni which year, umeokota vitu mitandao kujiliwaza.., tuko 2021.., Nimewacha Kilimani, Ngara, Eastleigh, Mombasa road, Langata area.., Eastlands Na kadhalika nje., just a few developed area., Dar ni moja tu utanipea angles tofauti..,
Nai in 2019
2602715_EhpOT81XkAEFesO.jpg


Old CBD

1634541552990.png

2586099_tapatalk_1602400807698.jpg

2586098_tapatalk_1602400798289.jpg

2593909_hazina.jpeg


Upper Hill
2628950_FB_IMG_1606851362000.jpg

2541717_njaagaphotography_20200127_62.jpg

Parklands.,
2602713_60915419-9A30-4683-94A9-54363AD3B770.jpeg



Westlands
2583173_2425040_IMG_20200612_014223.jpg
 
Hivi unajua Vodacom Tanzania walibadilisha logo pamoja na rangi zaidi ya miaka kumi iliyopita!
Leo huchomoki.
Vodacom sio issue, the point is those scrape metals bado zinatumika kwa wingi in Tanzanie even in 2021..,
 
ushamba siyo mzuri,uwe unajiongeza ukiambiwa umepitwa kwenye sekta flani haimaanishi umepitwa kwa 100%
mfano:usafiri wa majini tumewaacha mbali,usafiri wa barabarani tumewaacha mbali
How explain.., ama ni kampuni ya mabasi of which ni kwa muonekano wenu ndio unatumia kama kigezo? 😂 😂 😂 ., bro kulikoni.., fafanua nione elimu yako basi.., explain kiutaalamu sio kiushabikin wa vipicha..,
 
kwa hiyo hiyo na hako kapicha kachafu low quality ya dar ndiyo imeishiia hapo?

kweli ni ndogo aisee,yaani nairobi ni kubwa sana imedevelop kinoma noma mazee
Ukubwa wa Dar ni watu na udongo., sio meaningful developed area., ni vinyumba funny funny.., village type like 80% of the whole area.., .,
Taswira ya Dar ni hii hapa., developed area in one place the rest ni makazi uchwara kwa wingi., though kuna estates za kifahari, nyumba za kilofa zimejaza mji kwa ukubwa.., Pengine Dodoma ndio itawakomboa, huu mji haukomboleki karne hii.., hiki kizazi lazima kiondoke.,
1634542824449.jpeg

Hii ndio picha ambayo mnakana eti sio slum..,
1634542925116.jpeg

1634543012127.jpeg

1634543055206.jpeg
 
BRT na vi bus vichache visifanye ujifanye hauijui Tanzania wewe wacha propaganda nani.., kuna matako pia licha ya wewe kuweka uso wa dar unajaribu kulinganisha na matako ya Kenya, weka uso vs uso ama matako vs matako..,
Sio kila sehemu ya Tz iko na buses and organized transport., na umeweka picha za zamani za Nairobi machakos country bus, it doesn't look like that today na mabasi mengine hapo left the game kitambo, hazipo tena
Tanzania kwa uhalisia..,
images

local-transport-in-tanzania_gg69642660.jpg

View attachment 1978191
dar-es-salaam-bus-station-tanzania-174875631.jpg

crowd-people-bus-stop-rush-hour-dar-es-salaam-tanzania-february-city-center-traffic-congestion-passenger-50180866.jpg

townspeople-waiting-public-transport-bus-stop-dar-es-salaam-tanzania-february-passengers-expect-transportation-to-50180893.jpg

dar-es-salaam-tanzania-december-construction-main-street-capital-city-185636313.jpg


dala.png
It has been 13 years since vipanya (hivyo vi hiace) kukatazwa kuingia mjini. More bans have been made since then.

Even Dodoma walifanya pia 2016.

Unakuja kuleta picha leo kujaribu ku prove a stupid point. This is low, even for you.

That is a news clip for 2008. Nyie mpaka leo bado vinaingia CBD.

Screenshot_20211018-103919_Chrome.jpg
 
How explain.., ama ni kampuni ya mabasi of which ni kwa muonekano wenu ndio unatumia kama kigezo? ., bro kulikoni.., fafanua nione elimu yako basi.., explain kiutaalamu sio kiushabikin wa vipicha..,
vitu viko wazi hata wewe unajua,kama unaona unatosha kwenye hizo sekta nakupa home work

anzia sekta ya usafiri kwa bahari,unaweza kutuonyesha kuanzia vivuko mpaka boti zinazotumika huko kenya na namna zinavyoendeshwa
pia uje kwa upande wa public transiport ikiwemo mabus ya county zenu unaweza kutueleza ni namna gani huwa zinafanya kazi pia utupe muonekano wa picha from county-county kwa kutuonyesha rout

pia usisahau kumention majina yote ya meli pia mabus yanayopiga route kwa hapo kenya kutoka county zote.

nakuwait tucheke
 
Ukubwa wa Dar ni watu na udongo., sio meaningful developed area., ni vinyumba funny funny.., village type like 80% of the whole area.., .,
Taswira ya Dar ni hii hapa., developed area in one place the rest ni makazi uchwara kwa wingi., though kuna estates za kifahari, nyumba za kilofa zimejaza mji kwa ukubwa.., Pengine Dodoma ndio itawakomboa, huu mji haukomboleki karne hii.., hiki kizazi lazima kiondoke.,
View attachment 1978249
Hii ndio picha ambayo mnakana eti sio slum..,
View attachment 1978255
View attachment 1978261
View attachment 1978263
tafuta picha ya umbali kama huo kwa nairobi tucheke tuone pori
 
It has been 13 years since vipanya (hivyo vi hiace) kukatazwa kuingia mjini. More bans have been made since then.

Even Dodoma walifanya pia 2016.

Unakuja kuleta picha leo kujaribu ku prove a stupid point. This is low, even for you.

That is a news clip for 2008. Nyie mpaka leo bado vinaingia CBD.

View attachment 1978258
They are still in use in Tanzania kwa wingi zaidi ya mabasi.., hilo ndio nataka ukane., the topic was transport in Tanzania na sio Dar ambapo unfortunately Tz ni Dar, ndio maana mmekimbilia kule kutafuta maisha sasa mmejaza ufukara kwa mji.,..,
See your chaotic transport in Dar.. dala dala(Rosa buses kwa wingi, tuk tuk, boda boda).., kisha mtu anaweka vipicha kiupropaganda ili kujaribu kupotosha, na ukweli uko tu wazi..,
 
Back
Top Bottom