Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

vitu viko wazi hata wewe unajua,kama unaona unatosha kwenye hizo sekta nakupa home work

anzia sekta ya usafiri kwa bahari,unaweza kutuonyesha kuanzia vivuko mpaka boti zinazotumika huko kenya na namna zinavyoendeshwa
pia uje kwa upande wa public transiport ikiwemo mabus ya county zenu unaweza kutueleza ni namna gani huwa zinafanya kazi pia utupe muonekano wa picha from county-county kwa kutuonyesha rout

pia usisahau kumention majina yote ya meli pia mabus yanayopiga route kwa hapo nairobi kutoka county zote.

nakuwait tucheke
Duh, kweli akufukuzae akuambii toka!
 
mwanza kitovu cha biashara kanda ya ziwa + uganda+ kenya
IMG_2444.jpg

IMG_2445.jpg

IMG_2446.jpg
 
vitu viko wazi hata wewe unajua,kama unaona unatosha kwenye hizo sekta nakupa home work

anzia sekta ya usafiri kwa bahari,unaweza kutuonyesha kuanzia vivuko mpaka boti zinazotumika huko kenya na namna zinavyoendeshwa
pia uje kwa upande wa public transiport ikiwemo mabus ya county zenu unaweza kutueleza ni namna gani huwa zinafanya kazi pia utupe muonekano wa picha from county-county kwa kutuonyesha rout

pia usisahau kumention majina yote ya meli pia mabus yanayopiga route kwa hapo kenya kutoka county zote.

nakuwait tucheke
Upande wa usafiri wa maji nilidhani utatumia common sense tu, nikama kuniuliza kama Nairobi kuna beach 😂 😂 😂 hatuhitaji usafiri wa maji kihivyo., pale Mombasa kivukio cha Nyali na pale sehemu ya Ferry Likoni ni sehemu ndogo sana unaweza ukatupa jiwe ukiwa upande mwingine na ukafika ng'ambo nyingine., so we havent invested kwa wingi in such, on Lake Victoria the area is small too, Lake ni sehemu ndogo sana upande wa Kenya ukilinganisha kwa Uganda na Tanzania, kutumia gari is even faster than water by far.., we fly alot and we travel by road alot, with by far the largest road network in East and central Africa., both tarmac and murram., ukitaka data nitakupa.., so transport sector sio buses kilaza, ni connectivity and efficiency in reaching different destinations.., iwe hiece or buses., comfort is key..., ama unadhani Kenyan shuttles zinazo enda inter counties are like your dala dalas?
 
Upande wa usafiri wa maji nilidhani utatumia common sense tu, nikama kuniuliza kama Nairobi kuna beach hatuhitaji usafiri wa maji kihivyo., pale Mombasa kivukio cha Nyali na pale sehemu ya Ferry Likoni ni sehemu ndogo sana unaweza ukatupa jiwe ukiwa upande mwingine na ukafika ng'ambo nyingine., so we havent invested kwa wingi in such, on Lake Victoria the area is small too, Lake ni sehemu ndogo sana upande wa Kenya ukilinganisha kwa Uganda na Tanzania, kutumia gari is even faster than water by far.., we fly alot and we travel by road alot, with by far the largest road network in East and central Africa., both tarmac and murram., ukitaka data nitakupa.., so transport sector sio buses kilaza, ni connectivity and efficiency in reaching different destinations.., iwe hiece or buses., comfort is key..., ama unadhani Kenyan shuttles zinazo enda inter counties are like your dala dalas?
ushafel tafuta shughuli ya kufanya,kwani hiyo ferry iliyo ndogo ambayo kwa mijibu wa kichwa box chako unaweza kurusha jiwe likaenda upande wa pili huwa watu wanapita juu ya maji,

usipoteze mda huna hoja
 
Halafu kuna tabia moja mbaya sana na inayonikera mno, unakuta mtu anatembea on tarmac road zen anatema makohozi, yn wanyonge wkt mwingine ni watu wasio wastaarabu kabisa, unawezaje kufanya ushenzi kama huu mtu mzima? Nimewataja wanyonge mana 90% ya wanaofanya ushenzi huo ni hawa watu wanaoitwa wanyonge, kama una tabia ya kutema tema mate hovyo c utembee na kopo? Napendekeza sheria iwekwe kwa mshenzi yeyote atakayefanya upumbavu huu faini imuhusu, hatuwezi kuwa na watu wa kizazi cha Nyerere karne ya 21 bhn.
Yaan hii tabia inakera sana
 
vitu viko wazi hata wewe unajua,kama unaona unatosha kwenye hizo sekta nakupa home work

anzia sekta ya usafiri kwa bahari,unaweza kutuonyesha kuanzia vivuko mpaka boti zinazotumika huko kenya na namna zinavyoendeshwa
pia uje kwa upande wa public transiport ikiwemo mabus ya county zenu unaweza kutueleza ni namna gani huwa zinafanya kazi pia utupe muonekano wa picha from county-county kwa kutuonyesha rout

pia usisahau kumention majina yote ya meli pia mabus yanayopiga route kwa hapo kenya kutoka county zote.

nakuwait tucheke
We have shuttle companies kibao na kila moja iko na ofisi zao private, tofauti na nyinyi where u have bus stage za serikali where kila bus linasimama..., sio lazima kuenda designated bus stage ya serikali., kwa upande wa buses wenzangu wali post humu kwa wingi wont repeat.., na pia hii ya shuttles somewhere last year or 2019 tulimwaga kwa wingi sana..,
some shuttles..,
ENA-Concept.jpg

Galaxy-Express-Shuttle.jpg

Kuna hizi shuttles za Nairobi to Arusha., Nairobi to Kisumu na parts za western., kuna za route ya Mombasa.., comfort ndio key., zina compete na mabasi kunyakua customers..,
marangu_Luxury_Alphard%20_Van.jpg

one of the Dreamline waiting bay..,
SAM_6290.jpg

Mash
76163199_GJPFDBtTYXlMYaOmTyxkijnsQp1vW742ZPPdX5wnq8s.jpg

Kuna coast bus, Easy coach., Tahmeed, Modern coast., Ena, Guardian Angel.., etc..,
Kenya iko diversified sio tu mabasi..,
on Air transport hapa sasa usiseme., hii sector inakua kwa kasi sana.., ndio maana kuna competition kati ya airline companies kadhaa..
 
ushafel tafuta shughuli ya kufanya,kwani hiyo ferry iliyo ndogo ambayo kwa mijibu wa kichwa box chako unaweza kurusha jiwe likaenda upande wa pili huwa watu wanapita juu ya maji,

usipoteze mda huna hoja
Ulitaka nikuambie kuna ferry mia moja pale Likoni?.., ama kuna daraja kama ya kigamboni in Dar?, ilhali pale jam ni asubuhi na jioni pekee, mchana pamezuba tu., watu wakuvuka ni wachache, upande wa Nyali ndio kuna traffic kwa wingi coz of the population, na kuna daraja la zamani but efficient(Nyali bridge), vitu ambavyo haifai uulize, unatumia tu common sense wewe unauliza, ulitakaje wewe kilaza? ama ulitaka nimwage uongo na propaganda ya kujikweza kama ilivyo kawaida yenu na pia serikali yenu 😂 😂 😂 ., not me please, mie nakupa points yenye unaweza ukaenda kuhakikisha kama ni ukweli ama la sio porojo.,

Nyali bridge..,
1634546195829.png
 
We have shuttle companies kibao na kila moja iko na ofisi zao private, tofauti na nyinyi where u have bus stage za serikali where kila bus linasimama..., sio lazima kuenda designated bus stage ya serikali., kwa upande wa buses wenzangu wali post humu kwa wingi wont repeat.., na pia hii ya shuttles somewhere last year or 2019 tulimwaga kwa wingi sana..,
some shuttles..,
ENA-Concept.jpg

Galaxy-Express-Shuttle.jpg

Kuna hizi shuttles za Nairobi to Arusha., Nairobi to Kisumu na parts za western., kuna za route ya Mombasa.., comfort ndio key., zina compete na mabasi kunyakua customers..,
marangu_Luxury_Alphard%20_Van.jpg

one of the Dreamline waiting bay..,
SAM_6290.jpg

Mash
76163199_GJPFDBtTYXlMYaOmTyxkijnsQp1vW742ZPPdX5wnq8s.jpg

Kuna coast bus, Easy coach., Tahmeed, Modern coast., Ena, Guardian Angel.., etc..,
Kenya iko diversified sio tu mabasi..,
on Air transport hapa sasa usiseme., hii sector inakua kwa kasi sana.., ndio maana kuna competition kati ya airline companies kadhaa..
Dar Lux:
EakE-4EXsAEXkam.jpg

Dar Express
Ewc-IjgWQAMyIZd.jpg

Shabiby:
2158322_IMG_2543.jpg

Kidia:
E8QnJUTX0AQErkX.jpg

Hood:
537424_330813080356986_998183663_n.jpg

Esther:
1634546731423.jpeg

List ni kubwa sana na zingine mpaka tuende kupiga. Mfano Shekilango kuna private offices sita za mabus
 
tafuta picha ya umbali kama huo kwa nairobi tucheke tuone pori
Miji ya kisasa ilio na nature, sio kama Afghanistan Kabul ya EAC.., usiruhusu wivu ikusumbue kaka, zoea ukweli utapona tu 😂 😂 😂 😂 😂

New York.., yaani New Forest.., 😂 😂 kama tu Naipori.,
Central-Park-New-York-City.jpg

Central-Park-New-York-City.jpg

Nairobi..., miti lazima ipandwe kila kona., #NAIPORI., 😛 😍 💪
2541455_ea_mobitech_20200115_46.jpg

2541454_ea_mobitech_20200115_47.jpg

2583184_12475513_262125806_jpegdf55fef993986de98d8cf2312b3781e7.jpg

2583292_Eh2qEXrXYAEGI9P.jpg

2583172_2425041_IMG_20200612_014220.jpg

2583521_2513f5103627921.5f5106fac2aaa.jpg

2583483_MGL7125.jpg

2540683_tapatalk_1578218830990.jpeg
 
Naipori a.k.a Mbuga Town. Mtoto akipotea njia tu analiwa na simba 😀
 
We have shuttle companies kibao na kila moja iko na ofisi zao private, tofauti na nyinyi where u have bus stage za serikali where kila bus linasimama..., sio lazima kuenda designated bus stage ya serikali., kwa upande wa buses wenzangu wali post humu kwa wingi wont repeat.., na pia hii ya shuttles somewhere last year or 2019 tulimwaga kwa wingi sana..,
some shuttles..,
ENA-Concept.jpg

Galaxy-Express-Shuttle.jpg

Kuna hizi shuttles za Nairobi to Arusha., Nairobi to Kisumu na parts za western., kuna za route ya Mombasa.., comfort ndio key., zina compete na mabasi kunyakua customers..,
marangu_Luxury_Alphard%20_Van.jpg

one of the Dreamline waiting bay..,
SAM_6290.jpg

Mash
76163199_GJPFDBtTYXlMYaOmTyxkijnsQp1vW742ZPPdX5wnq8s.jpg

Kuna coast bus, Easy coach., Tahmeed, Modern coast., Ena, Guardian Angel.., etc..,
Kenya iko diversified sio tu mabasi..,
on Air transport hapa sasa usiseme., hii sector inakua kwa kasi sana.., ndio maana kuna competition kati ya airline companies kadhaa..

Hapa umeingia cha kike mzee kwenye lounges huku tutakupoeza kuna kampuni bongo zina mpaka mahoteli yao
 
Same as Kenya, ndio maana nilimwambia mwenzako aondeo hiyo akili yenu ya "My mother is the only best cook in the whole world".., fanyeni utafiti ama safiri ujue ulimwengu ulivyo., elewa Dunia sio Tanzania pekee.,
 
We have shuttle companies kibao na kila moja iko na ofisi zao private, tofauti na nyinyi where u have bus stage za serikali where kila bus linasimama..., sio lazima kuenda designated bus stage ya serikali., kwa upande wa buses wenzangu wali post humu kwa wingi wont repeat.., na pia hii ya shuttles somewhere last year or 2019 tulimwaga kwa wingi sana..,
some shuttles..,
ENA-Concept.jpg

Galaxy-Express-Shuttle.jpg

Kuna hizi shuttles za Nairobi to Arusha., Nairobi to Kisumu na parts za western., kuna za route ya Mombasa.., comfort ndio key., zina compete na mabasi kunyakua customers..,
marangu_Luxury_Alphard%20_Van.jpg

one of the Dreamline waiting bay..,
SAM_6290.jpg

Mash
76163199_GJPFDBtTYXlMYaOmTyxkijnsQp1vW742ZPPdX5wnq8s.jpg

Kuna coast bus, Easy coach., Tahmeed, Modern coast., Ena, Guardian Angel.., etc..,
Kenya iko diversified sio tu mabasi..,
on Air transport hapa sasa usiseme., hii sector inakua kwa kasi sana.., ndio maana kuna competition kati ya airline companies kadhaa..

Hahah, Kijana,
Companies hapa bongo got their well built terminals but they have to attend public bus terminals as well to pick passengers..
Angalia Kama hii Dar Lux
IMG_4761.jpg

IMG_4778.jpg

IMG_4760.jpg

IMG_4759.jpg

IMG_4758.jpg

IMG_4760.jpg

A
IMG_4778.jpg
 
Back
Top Bottom