The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Samahani wakuu ila mm siwezi kumuacha huyu mtu cz ameni proove wrong so I ask myself why mtu ani proove wrong, kwmb mm ni kiazi au? Ss natembea naye usiku wa leo mpk anijibu.
Samahani wakuu ila mm siwezi kumuacha huyu mtu cz ameni proove wrong so I ask myself why mtu ani proove wrong, kwmb mm ni kiazi au? Ss natembea naye usiku wa leo mpk anijibu.
Ana mambo ya kichawi sn huyu mtu anayeitwa Geza Ulole, mm wala sistahili kumtusi huyu mzee mana I believed kwamba yeye ni one of the reasons to why many Tanzanians are here, lkn amekuwa mjinga na tunavyomuacha anazidi kuwa mjinga kwa selfishness anayoi apply humu ndani.Mkuu nakushauri achana na huo mjadala, huyo jamaa anapenda sana ligi na inaonekana ni mzee fulani retired so ana muda wa kutosha kueneza chuki 24/7 humu..
In fact huo mjadala wa kisiasa hauna faida yoyote kwenye huu uzi, Tujikite kwenye battle yetu pendwa.
We still have a job to do, Bado hatujawaonesha wakunya the greatness of Dar and the Tz at Large
citizentv.co.ke
CC: The best 007Mkuu nakushauri achana na huo mjadala, huyo jamaa anapenda sana ligi na inaonekana ni mzee fulani retired so ana muda wa kutosha kueneza chuki 24/7 humu..
In fact huo mjadala wa kisiasa hauna faida yoyote kwenye huu uzi, Tujikite kwenye battle yetu pendwa.
We still have a job to do, Bado hatujawaonesha wakunya the greatness of Dar and the Tz at Large
ukiniambia Azory Gwanda na Ben Sanane wako wapi basi nitamuacha kwa amani!Sisi watanzania tukae tuungane tuwashukuru viongozi waliopita mana kwa namna moja ama nyingine wamepambana kuhakikisha kwamba leo tuko hapa, mm binafsi kuna viongozi siwakubali kabisa lkn kuna mazuri wamefanya, mfano mm cmkubali JK lkn cwez kumsema vby cz chini ya uongozi wake mm nilifanikisha baadhi ya mambo hususan elimu, amenibeba sn huyu mtu siwezi kumsema vby japo kuna mda nam expose, ss huyu mzee Geza anachonishangaza ni kwamba amebadilika ghafla na badiliko lake amekuwa nyoka kabisa.
Nitajie kiongozi yoyote duniani ambaye hajawahi kuuwa, kwamfano wewe Gezaulole mtu anakutusi matusi ya mama na una uwezo wa kumpoteza ungefanyaje?ukiniambia Azory Gwanda na Ben Sanane wako wapi basi nitamuacha kwa amani!
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK hawajaua na hawajapoteza watu!Nitajie kiongozi yoyote duniani ambaye hajawahi kuuwa, kwamfano wewe Gezaulole mtu anakutusi matusi ya mama na una uwezo wa kumpoteza ungefanyaje?
Geza kindly nakuambia wacha haya mambo stick na uwezo wako wa kuchambua mambo lkn ukileta huu ujinga unajidhalilisha kabisa.
Eti JK hajaua, umeona jinsi unaongea.JK hajaua!
Nitajie kiongozi yoyote duniani ambaye hajawahi kuuwa, kwamfano wewe Gezaulole mtu anakutusi matusi ya mama na una uwezo wa kumpoteza ungefanyaje?
Geza kindly nakuambia wacha haya mambo stick na uwezo wako wa kuchambua mambo lkn ukileta huu ujinga unajidhalilisha kabisa.
leta evidence hao waliouwawa walimtukania Jiwe mama yake!Kama umehongwa basi kosoa kiuweledi na co hii style uliyokuja nayo, watu wanashindwa kukuelewa kabisa.
Hakuna kiongozi aliongoza kutukanwa wazi wazi kama JPM cz alileta mabadiliko ya kweli hapa Tz yaliyowaumiza mafisadi na vibaraka wao, so JPM kutukaniwa mama ilikuwa ni kitu cha kawaida sn labda utake kukataa sahizi.leta evidence hao waliouwawa walimtukania Jiwe mama yake!