"CURRENTLY" hapo inamaanisha anaongelea serikali ya sahii. Kuna kitu inaitwa context, usiwe mjinga bana.Na wala sina mda wa kumpangia mtu, wala hainiusu hiyo....ila masharia sijui macharia kasema hiviView attachment 1977446
"CURRENTLY" hapo inamaanisha anaongelea serikali ya sahii. Kuna kitu inaitwa context, usiwe mjinga bana.Na wala sina mda wa kumpangia mtu, wala hainiusu hiyo....ila masharia sijui macharia kasema hiviView attachment 1977446
Kutumia smartphone,kujiunga na mitandao ya kijamii haijawahi kua kipimo cha akili.Akili ni kile kinachoandikwa na mtumiaji wa smartphone na bando.Kwani kuna kosa gani kutumia pesa vibaya ikiwa unaitafuta kwa bidii kuliko wengine magufuli alifanya kazi kubwa usiku na mchana hata angechota dola milioni 100 kuwa zake watz tungemwambia aongeze zaidi hata mara mbili ,kuna ubaya gani kumpa mchapa kazi wako mambo manono ,kama ingekuwa magufuli anafufuka kwa thamani ya dola $2bil tunge toa hizo pesa tumfufu hatunyoshee nch
Nitalazimika mzee, kwa hali inavyoenda humu ndani labda italeta sanity kwa vile watu wanamwabudu humu ndani!Wachwa bwebwe na ww...kwani ukimtukana mwenda zake ww ndio utaishi milele?...acheni kujifanya nyie ndio mnajua sanaa..mkichoka simna pumzika kwani ni lazima kila mtu aonyeshe yeye mwamba? Na mnamwonyesha nani?...
Hahaha. Ni kweli mkuu. Kuna watu humu wanatumia kichwa kama kabati ya kupanga meno.Kutumia smartphone,kujiunga na mitandao ya kijamii haijawahi kua kipimo cha akili.Akili ni kile kinachoandikwa na mtumiaji wa smartphone na bando.
Kuna meli kubwa nyingine ilitia nanga juzi.
Ndio naona zinafukuzana kabisa na baada ya dunia kufunguliwa kwa jinsi tunavyopokea watalii wengi kwa sasa tegemea Arusha kukua kwa kasi maana kuna uwekezaji utakuja huko kama hoteli (Kempiski niliona wana plan hiyo) n.k
Tukiwaambia kenya kuna miradi inaenda kimya kimya akina The best 007 hukasirika..


Kisumu ina 5 star facility?
Waziri wa ujenzi enzi za magu ndio alijenga uwanja wa ndege chato au unasahau mzee..Siyo jakaya ni magufuli kabla ya kuwa raisi alifanya kazi kubwa sana kwenye ujenzi wa barabara ,wakati huo jakaya yupo mjengoni anadinyana na kina sa100
Wewe unadandia tu mada hsta uelewi kwanza hiyo picha siyo chato airport hakuna hizo nyufaWaziri wa ujenzi enzi za magu ndio alijenga uwanja wa ndege chato au unasahau mzee..
Ilikua ni ule wakati magu aliogopa corona na kukimbilia chato
Nashkuru mjumbe wa kamati nachukua nafas hii kumteua Teargas aje kujibu hoja asanteni sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[mention]The best 007 [/mention] [mention]ichoboy01 [/mention] [mention]Mgagaa na Upwa [/mention] [mention]Geza Ulole [/mention]
Mwenyekiti Ichoboy na wajumbe wako tunaomba mpitie taarifa hizi ili tujiridhishe kabla hatujatupia kitu kizoto
View attachment 1976556
Data zimetoka kwa nani 😆😆😆😆Sasa nimekupatia data na huitaki? Ni sawa. Nilijua mtaikataa.
Kuna meli kubwa nyingine ilitia nanga juzi.