Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitalazimika mzee, kwa hali inavyoenda humu ndani labda italeta sanity kwa vile watu wanamwabudu humu ndani!

Chato Kijiji huwezi fananisha na Jiji na NDIO Chato ilipendelewa tena kiukabila haikuwa na sifa ya kupelekewa mabilioni mbele ya Geita Town (watu +800,000 sensa 2012)! Kujenga hilo daraja hakukumpa mwendazake fursa ya kuchukua fedha za serikali nje ya idhini ya Bunge (wizi wa kiamabavu) na kwenda kujenga Chato! Jibu hili swali 👇👇 na si una cherry pick miradi kujaribu ku-distort the bigger picture! BTW leo nina nondo zaidi za kushusha dhidi ya Magufuli na genge lake! A brutal fact Magufuli was no different to Mobutu!
Peleka haya mambo jukwaa la siasa mkuu. Haya mambo hapa si mahali pake sema unaforce tu na wewe soon tutAkuita mobutu wa hii thread. Kuwa muungwana maana Magufuli ameshapita aliyoyafanya ameyafanya tusongembele. Tatizo lako uko so biased kiasi kwamba unataka kuleta perfection kwa mama Samia kitu ambacho hakipo. Kila kiongozi anafanya makosa whether ni kwa kukusudia au bahati mbaya hivyo hakuna perfect leader. TUACHANE NA MAMBO YA SIASA KATIKA UZI HUU. PERSONALLY , AM FED UP WITH THESE POLITICAL THINGS.
 
Kamaliza mjadala.., an independent observer, objective comparison..,
Nairobi the most developed city in East Africa.,
 
Peleka haya mambo jukwaa la siasa mkuu. Haya mambo hapa si mahali pake sema unaforce tu na wewe soon tutAkuita mobutu wa hii thread. Kuwa muungwana maana Magufuli ameshapita aliyoyafanya ameyafanya tusongembele. Tatizo lako uko so biased kiasi kwamba unataka kuleta perfection kwa mama Samia kitu ambacho hakipo. Kila kiongozi anafanya makosa whether ni kwa kukusudia au bahati mbaya hivyo hakuna perfect leader. TUACHANE NA MAMBO YA SIASA KATIKA UZI HUU. PERSONALLY , AM FED UP WITH THESE POLITICAL THINGS.
kejeli nazijibu pia!
 
Nairobi West estate along Mombasa road vs Dar is slum residential., tofautisha.., Justinr bado sijaona any residential around your CBD that can come any closer to Nairobi west estate.., umejaribu kuponda lakini wapi., pengine utafute Kibera uweke humu ikuliwaze tu, 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 1978773
VS
2968215_JamiiForums38820984.jpg

mbona umeacha picha ya Kibera?
modern-highrise-office-blocks-break-the-skyline-above-the-sprawling-picture-id905950902
 
mbona umeacha picha ya Kibera?
hiyo ni yenyu ya kutumia kujiliwaza mkipata kichapo bila jibu, besides was showing avarage residentials around CBD kama vile mwenzako alionyesha industrial area na Nairobi west estate akikejeli, so am showing the equivalent in your big slum city.., hakuna comparison., mko way below on average, licha ya ma kibera zetu.,(extremes)
 
kejeli nazijibu pia!
Wewe nisikilize nikwambie, iko hivi nenda juu nenda chini, nenda kaskazini nenda kusini, nenda mashariki nenda magharibi, jibu linabaki kwamba Magu ndiye uncle wa taifa, tuna baba wa taifa pia tuna uncle wa taifa, wewe hapa vi thread vyako vyote unavyotamba navyo ni Magufuli ndiyo amevipa meno la cvyo kabla ya 2015 hapa Tanzania kulikuwa hakuna chochote cha kuweza kushindana na Kenya, huo ndio ukweli ninaoujua tangu kitambo, baada ya 2015 ndipo Tz tukaanza kupambana na insults za Wakenya kwasababu tayari tulikuwa tunabebwa na miradi ya Magufuli, kama co Magu hii battle isingekuwepo kwasababu Wakenya walikuwa wametuacha mbali japo ma infrastructure yao ya kitambo lkn cc hatukuwa nayo.

So Geza jiheshimu hata kdg Mana unajichoresha sn na unaonekana malaya kwn kila unachoringia humu meno umepewa na awamu ya tano taka usitake.
 
Huo ni mtazamo wako wangu ni tofauti kwangu mimi mikono yake ilijaa damu pia! The more unanijibu the more nakujibu!
 
jitekenye tu, umejichekea mzee? ukubwa wa Dar ni population na makazi na sio CBD mlio ikusanya kwa locality moja.,
The best part ya Dar n bigger part ya CBD yenye mnatuleta angles tofauti kila uchao., the main three towers ndio centre of attraction
View attachment 1978762

That decency you won’t find it anywhere in east and central Africa, Right ?
IMG_3105.jpg
 
eti mind your line., sasa umeandika kizungu eti kunionya ., kazi rahisi tu mbona tuandike kwa mate na wino upo.., same locality, kwingine usijisumbue, tunapajua., wacha machungu zoea ukweli, jikubalini mahali mpo kwa sasa..,
View attachment 1978752
View attachment 1978753
Utazungusha angle zote but ni same area tu..,
View attachment 1978756
View attachment 1978759
View attachment 1978757
View attachment 1978758
View attachment 1978760

Tazama street Level za Kariakoo,
Is your Nairobi town this much organized ?
IMG_4809.jpg

IMG_4810.jpg

IMG_4801.jpg

IMG_4800.jpg

IMG_4799.jpg

IMG_4802.jpg
 
Huo ni mtazamo wako wangu ni tofauti kwangu mimi mikono yake ilijaa damu pia! The more unanijibu the more nakujibu!
Leo nipo na wewe so be careful cz kuna watu wanaakili sn humu JF wamesema tuachane na snitches ila natambaa na wewe leo, ss niambie 7bu zilizokufanya umsifie JPM kipindi yuko hai zen uanze kumponda kipindi amekufa, hujioni kwamba wewe ni mtu wa ajabu?
 
kwahiyo unalazimisha nimuabudu JPM endelea!
We mzee mwehu nn, wewe ulikuwa unamsifia humu ndani kila siku now nakuuliza kipi kimefanya umkatae wakati ulianzisha nyuzi nyingi za kumsifia kabla hajafa, usiniletee ngonjera niambie 7bu za kumsifia wkt yuko hai zen uanze kumponda wkt amekufa, kama unataka ushahidi wa kumsifia wkt yuko hai naweza kukuwekea au unabisha pumbavu.
 
one has a right of an opinion change!
 
Hee, kwahiyo unalazimisha nimuabudu JPM endelea! Bring it on...
Kama ni hivyo basi hakuna anayemlazimisha mwingine humu kumpenda au kutompenda rais aliyeko madarakani au ambaye ameshatoka madarakani. Kwa mantiki hiyo hakuna haja ya mabishano juu ya hili kwani hakuna winner zaidi ya kujichosha tu kisaikolojia. TUENDELEE NA BATTLE.
 
Back
Top Bottom