Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Very Cheap bro!!!kama hapo ni kwako unanialika nina dili ya job poa mahali!!!sikupi!!!.Coz hiyo ni part of my interview!!! You lack art, creativity and exposure pia, kwa kifupi wewe ni mshamba!!!How comes una vitu cheap hivyo, better buy kidogo kidogo those furnitures and appliances ila vitu vinavyo make statement!!!
wacha domo ya wivu,wats good you say is good,cant you see his creativity there,His house has an epic view of world life,you can sence from his home he is a Safaris guy,He apreciates the natural enviroment,saa zingine mwachage hihere
 
Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewanyumba za Polisi, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, soko la kisasa, ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa mahakama ya Wilaya kama ya Chato, ikajengewa ofisi za Zimamoto kama Chato, ikajengewa Hoteli ya nyota 3 (inasemekana nyota 4) kama Chato, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!

Je hapo ni Tanzania au sio Tanzania?
 
FB9aeu7WYAE_cOp
 
kwahio hapo hunaona hakutakuwa modernized? pemben tayar kuna barabara nzuri tu.. naona hapo pia kuna pavement blocks.. sijui ndo ndan ya vibanda au for parking

Bado mkuu, beach ni kivutio cha watalii, pale coco ni mjini halafu pako local sana, beach ni chafu imejaa seaweeds zinanuka mbaya na Pana wale Sea Urchins wana miba ya kufa mtu,
Ni gharama kidogo sana itamodernize ile beach iwe kivutio kwa watalii,
Panatakiwa pasafishwe, pawe na modern bars and restaurants, sehemu za intertainment, sehemu za michezo ya beach nk
 
vyote hivyo watu waingie bure?
 
We have shuttle companies kibao na kila moja iko na ofisi zao private, tofauti na nyinyi where u have bus stage za serikali where kila bus linasimama..., sio lazima kuenda designated bus stage ya serikali., kwa upande wa buses wenzangu wali post humu kwa wingi wont repeat.., na pia hii ya shuttles somewhere last year or 2019 tulimwaga kwa wingi sana..,
some shuttles..,
ENA-Concept.jpg

Galaxy-Express-Shuttle.jpg

Kuna hizi shuttles za Nairobi to Arusha., Nairobi to Kisumu na parts za western., kuna za route ya Mombasa.., comfort ndio key., zina compete na mabasi kunyakua customers..,
marangu_Luxury_Alphard%20_Van.jpg

one of the Dreamline waiting bay..,
SAM_6290.jpg

Mash
76163199_GJPFDBtTYXlMYaOmTyxkijnsQp1vW742ZPPdX5wnq8s.jpg

Kuna coast bus, Easy coach., Tahmeed, Modern coast., Ena, Guardian Angel.., etc..,
Kenya iko diversified sio tu mabasi..,
on Air transport hapa sasa usiseme., hii sector inakua kwa kasi sana.., ndio maana kuna competition kati ya airline companies kadhaa..
hizo office za bus au ni betting office?
 
Well, cbd, Westlands, uperhill, eastleigh in one shot
Iko wapi Westlands hapa? UpperHill je? na Eastleigh?. point please 😂 😂 😂 , hizo hazipo hapa kabisaa, hazionekani kabisaaa, ona sasa kiherehere yako, kila ukiona picha ya Nairobi aerial view unadhani ndio yote 😂 😂 😂 😂 ., kwa hii angle, westlands iko kwa mgongo ya mpiga picha., upper hill na kilimani iko upande wa kulia., Eastleigh na Ngara, kuelekea greater Eastlands ziko upande wa kushoto., na kule mbele ni buildings along Mombasa road na industrial area., infact such buildings sijaona mtu ameweka humu in one photo., another business district cropping.., ata kama ni kukuwa kipofu westlands kwani haujui skykline yake? upper Hill si ungeona britam towers na UAP., jameni mzee kulikoni?
A section of CBD.,
FB9aeu7WYAE_cOp
 
Ulitaka nikuambie kuna ferry mia moja pale Likoni?.., ama kuna daraja kama ya kigamboni in Dar?, ilhali pale jam ni asubuhi na jioni pekee, mchana pamezuba tu., watu wakuvuka ni wachache, upande wa Nyali ndio kuna traffic kwa wingi coz of the population, na kuna daraja la zamani but efficient(Nyali bridge), vitu ambavyo haifai uulize, unatumia tu common sense wewe unauliza, ulitakaje wewe kilaza? ama ulitaka nimwage uongo na propaganda ya kujikweza kama ilivyo kawaida yenu na pia serikali yenu ., not me please, mie nakupa points yenye unaweza ukaenda kuhakikisha kama ni ukweli ama la sio porojo.,

Nyali bridge..,
View attachment 1978373
kwa hiyo kile kivuko cha mombasandiyo huwa kinavusha watu hapo?

bange huziwezi achana nazo
 
Jaribu tena bila kulia hio ni CBD pekee na parts of Mombasa road. Westy pekee imewatosha. Dar hakuna big city feel bedroom ndio kubwa. Commercial zone na Industrial zone Nairobi is superior.
Kajiumbua.,
 
We have shuttle companies kibao na kila moja iko na ofisi zao private, tofauti na nyinyi where u have bus stage za serikali where kila bus linasimama..., sio lazima kuenda designated bus stage ya serikali., kwa upande wa buses wenzangu wali post humu kwa wingi wont repeat.., na pia hii ya shuttles somewhere last year or 2019 tulimwaga kwa wingi sana..,
some shuttles..,
ENA-Concept.jpg

Galaxy-Express-Shuttle.jpg

Kuna hizi shuttles za Nairobi to Arusha., Nairobi to Kisumu na parts za western., kuna za route ya Mombasa.., comfort ndio key., zina compete na mabasi kunyakua customers..,
marangu_Luxury_Alphard%20_Van.jpg

one of the Dreamline waiting bay..,
SAM_6290.jpg

Mash
76163199_GJPFDBtTYXlMYaOmTyxkijnsQp1vW742ZPPdX5wnq8s.jpg

Kuna coast bus, Easy coach., Tahmeed, Modern coast., Ena, Guardian Angel.., etc..,
Kenya iko diversified sio tu mabasi..,
on Air transport hapa sasa usiseme., hii sector inakua kwa kasi sana.., ndio maana kuna competition kati ya airline companies kadhaa..
hiyo ni betting office ama?
images.jpg
 
kwa hiyo kile kivuko cha mombasandiyo huwa kinavusha watu hapo?

bange huziwezi achana nazo
Haujielewi wewe, uko na matatizo ya ki fikra, nenda beach ukazubae kule kama uko pwani., kunywa kahawa chungu na kaimati, relax tu, ni jioni.
 
Back
Top Bottom