Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Marais wengi wa afrika walkua marekani( including rais wenu) kwenye shughuli za UN, ila hakuna hata mmoja alienda white house. Uhuru ameenda marekani siku mbili tu, kashaalikwa white house.....
acha utahira wewe, raisi wetu alienda US na ratiba zake, kama kenyatta kaenda kuzurura ni vyema akutane na kila mtu huku nyangau mkifa njaa
 
karne ya 21 kuna mijitu inakufa kwa kukosa chakula hahahahaha
Wangapi wamekufa eti?🤔 Weka number hapa tuone..., mnatamani fikra zenu potovu zitimie au ziwe ukweli, poleni😜, facing food shortage coz of drought sio watu kukufa, povu ruksa😂😂😂😂
 
Huo ni mji mpya unajengwa kila mahali, Subiri 2025 ndio mtaelewa tunamaanisha nini, kila mahali Dom inajengwa hapo unapopaona hivyo lazima ipite lami
2021 mji mkuu haina lami? One of the main towns in Tz! Mlichelewa wapi?
 

Mathare's Neighbourhood Secretly Making Millionaires​

TheSource254
Oct 14, 2021 7:33 PM

Mathare is widely known for it's informal settlement, Mathare Slums that hosts a number of families living in Nairobi. It boarders Pangani, Eastleigh, a section of Githurai and Kariobangi, the home of Nairobi's most silent millionaires.

Despite making news especially in the gangs that live in the area and being a home for low income earners, the neighborhood is a home of many performing businesses.

e470baa95f464e04a40d040d7c6a47b0



Most business people consider setting up premises in the area for it's low costs of operations in matters rent and availability of ready market.
It is widely known for being a home of vehicle spare parts and most celebrated motor vehicle mechanics, some of the most underrated hustles but most paying since they are always on demand.

3c66868423fd415ab4a96fbd49757d33



The area has produced most millionaires characterized by the multimillion businesses put up, ranging from motor vehicle tyre business and small industries with very big turnovers.
Presence of leading banks, supermarkets, microfinance institutions that seem to enjoy the vibrance and the shilling flow.
 
wataalam wa ujenzi Tz wapo smart sana huwa wanazingatia,

ukienda kenya ni tofauti labda awe mjenzi mgeni
Hivi ni nani anaye husika na upandaji wa maua na miti kwenye barabara zetu mbona wanafanya kifisadi hivi hapo ukifutilia utasikia milioni kadhaa zimetumika kulipa kampuni fulani kupanda maua na kutunza hizo bustani tena utakuta wamiliki wa hiyo kampuni ni hao hao wahusika wanajipea tenda wenyewe cheki huo upandaji wa maua ulivyo wa kienyeji kwanini wasitumia hata magereza na wafungwa kuzalisha miche bora na kupanda kwa ustadi wa vipimo
 
lugha gani hizi kwani mtu kila mtu anaabudu kwenye Chato kuwa mkoa?
Hilo ni choko kama unabisha muulize picha ya mashoga aliyo kuwa kapost humu baada ya mimi kumuumbua kafuta ,alikuwa anawasifia
 

Govt provides 28.6bn/- for Geita region development​



October 14, 2021
14Oct 2021
By Guardian Reporter
Geita
News
The Guardian
Govt provides 28.6bn/- for Geita region development
THE government has provided 28.6bn/- for the construction and revamping of various development projects in Geita region.

majage%20ed.jpg


Prime Minister Kassim Majaliwa made the remarks here yesterday when addressing Muganza Ward residents in Chato District in the region, saying 16bn/- has been channeled to Chato District.

Majaliwa said the government wants to see every Tanzanian gets social services in their areas including health, education, water, energy and infrastructure.

He called on Geita regional officials to make sure the money is used for the intended purpose.

Speaking on the shortage of workers in the health sector, Majaliwa said the government continues to employ people in the sector to make sure people get better health services.

Majaliwa also instructed the management of Rural and Urban Water and Sanitation Authority (RUWASA) in Chato district to make sure 5.2bn/- provided for the implementation of the water project is well spent to enable the people get water.

He told RUWASA to make sure they start making feasibility studies to enable the use of water from Lake Victoria as the people living close to the lake lack sufficient supply of water.



MY TAKE
Tshs 16 bln to Chato vs 12bln for the rest of Geita Region! 😡😡😡
Opportunity Cost njoo huku, huyu choko mwenzako Geza Ulole kaanza kumpinga mama Njoo msutane nasikia mashoga mnajua kusutana sana nataka kuthibitisha.
 
Wangapi wamekufa eti? Weka number hapa tuone..., mnatamani fikra zenu potovu zitimie au ziwe ukweli, poleni, facing food shortage coz of drought sio watu kukufa, povu ruksa
Ulisa uhunye
 
du mbona wagumu kuelewa.. au sijaeleweka.. sijasema jengo haliko arusha.. nimesema hilo jengo lipo karibu na barabara (ambayo barabara sijui ndo arusha-moshi) kama lilivyo jengo la Tanesco ubungo (ipo karibu na barabara ya morogoro rd).. wasije nalo baadae wakalipiga panga
Nadhani kwenye namna ulivyoandika ndio umetuchanganya.

Umeandika hivi "naona liko karibu na barabara kama la Tanesco ubungo ambalo limepigwa panga nusu yake "

Ungeandika hivi "naona liko karibu na barabara kama lile JENGO la Tanesco ubungo ambalo limepigwa panga nusu yake "

Ungeeleweka mapema.
 
Huyu mama ni mshamba na limbukeni .maraisi wa namna hiyo ni kama mabutu seseseko very primitive
Huyo mama amekukosea nini?

Hivi una habari hiyo ndege iliwekwa order kipindi cha JPM na hata hiyo Zanzibar ni uongozi wa JPM ndo ulishahuri iandikwe Zanzibar au hujaona "Hapa Kazi tu"

Asee embu badilika mzee.

Mkiendelea hivi mtafanya na wengine tuanze kuanika madudu yaliyofanyika awamu iliyopita halafu tulinganishe na awamu hii.

Ni wapi paliandikwa kuwa kama awamu iliyopita ilipendelea kutumia magari basi na hii awamu ni lazima nayo itumie magari?
 
Watu wanachuki mpaka wanatuhimiza kuwasikiliza mafisadi🥱

Pro-Pesa Tibanjuka, huyu hata mkora Kikwete alimtimua baada ya sakata la Escrow 🤷‍♂️🤦‍♂️

Asikilizwe kwa lipi?
Tumtazame Prof. au tujikite kwenye hoja yake?Sina wivu sehemu kupewa hadhi ya mkoa lakini Chato haikua na sifa labda Kama ni zawadi tu
 
Back
Top Bottom