Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar kama Dar.
tapatalk_1634208331460.jpg
tapatalk_1634208320693.jpg
 
Kwa nini barabara ni ya mchanga na sio lami? Inakera kuona mazingira mabaya namna hii yameizunguka jengo muhimu kama hili.
Huo ni mji mpya unajengwa kila mahali, Subiri 2025 ndio mtaelewa tunamaanisha nini, kila mahali Dom inajengwa hapo unapopaona hivyo lazima ipite lami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tra leo imetangaza imekusanya tsh trillioni 5.151(sawa na $2.2b) kwenye robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/2022
View attachment 1961549
kwa kulinganisha ;kra ilikusanya ksh 476 billion(sawa na $4.3b) in the same time period


A difference of $2.1b in the first 3months of the financial year
Pia tra ilikua na ufanisi wa 94.3% wakati kra ikiwa na ufanisi wa 103.2%
Good observation
 
Back
Top Bottom