Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama kagundua magufuli hakuwa mbaya ila mtu usipokuwa kwenye kiti cha uraisi uwezi kujua nini kinasababisha kuwa vile alivyokuwa mkali sana kwa wafanyakazi wa serikali ,pia mama kajua legacy ya magufuli siyo ya kushupazia shingo inaweza kuvunjika
Chezea mzimu wa Magufuli wewe! Lazima chifu Hangaya akamilishe tu miradi yote iliyoasisiwa na Magufuli vinginevyo hatakuwa na amani na urais wake kamwe!
 
Update: Pan African Postal Union (PAPU) HQ |17F |
img_1406-jpg.2199509



img_1407-jpg.2199510


Courtesy: @w1II3

View attachment 1974140

View attachment 1974141
wataalam wa ujenzi Tz wapo smart sana huwa wanazingatia,

ukienda kenya ni tofauti labda awe mjenzi mgeni
 
wataalam wa ujenzi Tz wapo smart sana huwa wanazingatia,

ukienda kenya ni tofauti labda awe mjenzi mgeni
Hata akiwa mjenzi mgeni bado atavurunda kwasababu ya rushwa, Kenya ni totally the failed state mkuu, ni nchi ya wajinga na wazembe ofcz ni nchi ya wapumbavu sn.
 
Muulize kwanza hicho alichopost ni kitu gani mana hapo panaonekana ni shambani, na structure amepost haielezi chochote since ipo empty kinachoonekana hapo ni trekta moja tu, uskute hata sio stendi ya Malory
hapo jamaa kapiga changa ,kaingia zake gooogle kaforce kusearch kitu ambacho kiuhalisia hawana kisha kaiona picha akadownload,
hiyo ndiyo nature ya mkenya
 
Kwani ni kesho
FB_IMG_16342407112570350.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_16342406921902479.jpg
    FB_IMG_16342406921902479.jpg
    48.4 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16342407001515441.jpg
    FB_IMG_16342407001515441.jpg
    33.7 KB · Views: 10
Wadanganyika wajifunze kingereza
FB_IMG_16342407112570350.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_16342406921902479.jpg
    FB_IMG_16342406921902479.jpg
    48.4 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16342407001515441.jpg
    FB_IMG_16342407001515441.jpg
    33.7 KB · Views: 7
‘liko karibu na barabara kama la Tanesco ubungo’
otherwise rudi nyumban kesho ni siku ya kazi pia
Jengo liko Arusha hilo kaka..nahisi umechanganya na Maji house la Ubungo ..cause yote ni 17flrs
 
Shhhhhhh!!!!
FB_IMG_16342412798306562.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_16342412798306562.jpg
    FB_IMG_16342412798306562.jpg
    40.3 KB · Views: 7
  • FB_IMG_16342406921902479.jpg
    FB_IMG_16342406921902479.jpg
    48.4 KB · Views: 8
Back
Top Bottom