The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ilibidi Rais wa Marekani atoke kwao awafuate nyinyi kama kweli mna umuhimu na co nyinyi mumfuate yeye, ni lini ninyi Wakenya mtapata akili? Haya tuambie baada ya kikao hicho je njaa imeisha Kenya? Cc tulipiga kelele sn Rais wetu alipoenda Marekani bila kuangalia amekutana na nani lkn wenye akili tulipinga vikao vya kijinga jinga km hivyo cz viongozi wengi wa kiafrika wanaendekeza starehe na co kupambania wananchi, unapomuona rais wako yuko hapo juwa kwamba mamilioni ya walipa kodi yameteketea pasipo returns, ss nyie wehu mnashangilia eti ushirikiano baina ya Afrika na Marekani!!! Alafu walivyo na dharau wanasema ushirikiano baina ya Marekani na Afrika na wala sio KenyaKenya punches above it's weight class constantly. we are geographically and population wise too small compared to some of our neighbors. it should be an Ethiopian leader or Tanzania leader sitting on that chair but they got no juice
you don't have to accept it just give us our respect.







