Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaona unafiki wa corona na chanjo zake?

Tanzania, waliochanja ni chini ya 0.6% hii asilimia ni statistically insignificant. Sasa ni nini kilichoifanya Tanzania leo kuwa "safe" ?
Inategemea makundi yaliyochanja,kwani watalii wanakutana wapi na nyie Waganga njaa? Kwenye sekta ya utalii lazima kuchanja la sivyo pisha.
 
Mama kagundua magufuli hakuwa mbaya ila mtu usipokuwa kwenye kiti cha uraisi uwezi kujua nini kinasababisha kuwa vile alivyokuwa mkali sana kwa wafanyakazi wa serikali ,pia mama kajua legacy ya magufuli siyo ya kushupazia shingo inaweza kuvunjika
Yule alikuwa si TU mbaya bali roho mbaya kama alivyoumbwa mbaya 👇

2952061_JamiiForums569115795.jpg


2952362_Q0f.jpg
 
Huyo mama amekukosea nini?

Hivi una habari hiyo ndege iliwekwa order kipindi cha JPM na hata hiyo Zanzibar ni uongozi wa JPM ndo ulishahuri iandikwe Zanzibar au hujaona "Hapa Kazi tu"

Asee embu badilika mzee.

Mkiendelea hivi mtafanya na wengine tuanze kuanika madudu yaliyofanyika awamu iliyopita halafu tulinganishe na awamu hii.

Ni wapi paliandikwa kuwa kama awamu iliyopita ilipendelea kutumia magari basi na hii awamu ni lazima nayo itumie magari?
Wewe naye umeshakuwa mpumbavu unajua nilikuwa namaanisha nini ? Hiyo ndege ni mpya ndiyo kwanza imekuja tz mama kesha idandia ,majuzi alikuwa anavuruga safari za ndege kisa ni fahari binafsi ya kutumia midege mipya mikubwa ,mm huyu mama nilisha fanya conclusion kuwa ni dhaifu sana kwenye kutumia ubongo bora afuate nyayo za magufuli tu kuliko kubuni njia zake mwenyewe za kutaka kuwa furahisha mafisadi,mimi sijawai kusema habari za jina zanzibar hata siku moja nashangaa unanilisha maneno ,huyo geza mwenyewe aliwahi kunipinga kuhusu mama kufanya anasa na ndege baada ya muda yeye mwenyewe akakubali nilichosema ,sasa wewe jiulize kwanini mama afanyi mikakati ya kufuatilia uendeshaji wa shirika la ndege kwa undani ili lilete faida badala yake ni kutumia midege kilimbukeni ndege ya raisi inafanya kazi gani
 
Hii kitu

Andamana tu kama vipi or kunywa sumu🤗😂
Aandamane kwa sababu ya Chato kuwa mkoa au? Kuna mikoa mingapi imeanzishwa na mingine itaendelea kuanzishwa?

Harafu huwezi acha kutekeleza miradi ambayo ilishaanza utekelezaji,ni hasara kubwa ikiachwa kuliko kuimalizia.
 
Wewe naye umeshakuwa mpumbavu unajua nilikuwa namaanisha nini ? Hiyo ndege ni mpya ndiyo kwanza imekuja tz mama kesha idandia ,majuzi alikuwa anavuruga safari za ndege kisa ni fahari binafsi ya kutumia midege mipya mikubwa ,mm huyu mama nilisha fanya conclusion kuwa ni dhaifu sana kwenye kutumia ubongo bora afuate nyayo za magufuli tu kuliko kubuni njia zake mwenyewe za kutaka kuwa furahisha mafisadi
Mnakaribia kufanana na wale pinga pinga fc waliokuwa wanapinga kila kitu kilichofanyika awamu iliyopita.

Wewe na huyo mwenzako mshaambiwa hili sio jukwaa la siasa hamsikii!
 





MY TAKE
Aisee, hii haijakaa sawa!

Kwa nini? Miradi tayari iko kwenye hatua mbali mbali za ujenzi ukiiacha ni hasara kwa Nchi maana Kodi za watu zimetumika kwa hiyo ni afadhari kuimalizia.

By the way Hangaya ni mwanasiasa kwa hiyo yuko kwenye mchakato wa kampeni,hata huo mkoa unaweza tangazwa mwaka mmja kabla ya uchaguzi.
 
Mnakaribia kufanana na wale pinga pinga fc waliokuwa wanapinga kila kitu kilichofanyika awamu iliyopita.

Wewe na huyo mwenzako mshaambiwa hili sio jukwaa la siasa hamsikii!
Nionyeshe ni wapi nimewai kulalamikia neno zanzibar au kupinga kununua hizi ndege ,mm nakumbuka niliwai kusema ndege zije nyingi zaidi kwa sababu bei za ndege zimeshuka kwa zaidi ya 50% sasa niambie hayo uliyo andika umeyatoa wapi?
 
Back
Top Bottom