Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahaha
Jamaa mwehu sana yani point yangu bado hujailewa, kwanza nyie bajeti yenu ya elimu kiduchi ndio manake mnazalisha vilaza tu..
Utakuta professor mzima eti anatema pumba..
Sisi kenya km hujanielewa tunawekeza sehemu yenye manufaa zaidi na wala hatuingii kichwa kichwa lazima tugawe share mahali..tupate ya mgao na ya kodi akili kubwa aisee
Sasa sijajua Kati ya elimu ya Kenya na Tanzania elimu ipi inazalisha vilaza, mana juzi tu tumeshuhudia mtanzania akipewa tuzo ya NOBEL, tunapost kila siku humu Kimara kibaha high way inajengwa na kampuni zawa (estim), stendi za mabasi kwa mfano ile ya Dodoma na Tanga zote zilijengwa na kampuni zawa (Muhammed builders), uwanja wa ndege Mwanza na barabara tofauti tofauti zinajengwa na kampuni zawa.. kuanzia baba wa taifa na viongozi tofauti tofauti wa tz ni watu wenye heshima kubwa duniani.. kitu pekee you Kenyans mnatu'outstand internationally ni mbio za riadha tu na kurusha mikuki kule kwenye mashindano ya olimpic, Ila kuhusu elimu labda mnatuzidi kwenye kuzalisha wakandarasi wa hovyo kila mwezi magorofa yanaanguka huko kwenu
 
Bado unatema pumba mzee
Kenyans wanafanya mengi sana kaa mkao uchambue mzee
Mwanza airport tayari steel mnatoa kenya mtaambia nini watu
 
"Nchi zingine zilipopokea huu mkopo, walitumia kununua chanjo na face mask,Ila Sisi tumeamua kujenga vituo vya afya,kununua CT scan,kujenga madarasa,mradi wa maji,Hospitali,kufufua utalii,MRI kika hospital,kununua madawati etc
-Rais Samia

(Majirani waliiba zote)
Pumbav sana!
Kw kenya hvyo vitu kenya wananunua magavana nyie ndio mumeokolewa na huo mkopo
 
Mkopo kutoka IMF Summary

Tz inaenda kubadilika on social services

Water
New wells dams and water systems ..nmesahau specs..Magari ya kuchimbia visima na mabwawa

Eduaction

New 15000 Secondary Schools class rooms
New 3700 primary school classrooms
25 New VETA
17 if not mistaken lecture theatres
400k plus madawati
10,800 books for disabled

Afya 440 billion (Nahis percent kubwa )

100 plus Emergency Department buildings
72 New ICUs and equipment kwenye hospital mbali mbali
40 Oxygen plants kila hospital ya mkoa na some zonal na some za wilaya
4000 plus mitungi ya oxygen
2000 plus beds and lockers
CT scan 29 , MRI zonal hospitals , Digital Xray 85
One Stop Centre for Radiological solution kama ku share images
Hvyo vitu mbona kwetu vipo kitambo nyie ndio munafanya sai, mnatia huruma aisee
Kwetu hta turkana vipo
 
Sasa wewe jiulize Karne hii kuna nchi inapewa msaada wa chakula na nchi ambayo 93 percent ni desert alafu eti mna pesa
Chakula hakiletwi katika hazina ya taifa, yani mikopo yenu inapitia treasury aisee
 
Hii kasi tuliyochomoka nayo sio ya ukanda huu ni ya Europe, hii nchi alitakiwa mtu mmoja wa kutuamsha kutoka usingizini zen yeye akapumzike kwa amani, na ndivyo ilivyokuwa kwamba huyo mtu cku zote atafanywa kuwa benchmark na watakaofuata wote watapimwa kulingana na alichokifanya huyo mtu, asante sana Mungu baba, wewe ni mwema cku zote kwani sasa tumeiona iliyo kweli.
Hofu ni mama anatonasana na mafisadi ,kila mradi utafanyiwa michezo michafu kama ile barabara ambayo waziri mkuu kaikataa wamejenga bila ya taa kinyume na mkataba ,kisha kwa unafiki waziri wa ujenzi ndiyo anajidai kuja kuweka taa badala ya kujiudhuru au mama kumfukuza kazi ,HIVYO TATIZO LA MAMA KUBWA SANA NI HILO LA KUCHEKA NA WAHUNI SERIKALINI
 
Hizi njia nne zikikamilika wazee wa mabasi watakua wanamwaga moto barabarani sipati picha aisee
Hizi ni njia nne za mjini kuunga na ile 122Km Outer Ring Road inayoyengwa Dodoma.

Njia hizi ni ile ile Inayotoka Dom to Singida via NALA, Dom to Iringa via BIHAWANA, Dom to Arusha via MSALATO, Dom to Dar via MTUMBA
 
Dar ni kasehemu kadogo sana kariko jengwa tower tatu pekee.….yani hata kwa Eastleigh bado sana
IMG_20211011_061624_487.jpg
IMG_20211011_061511_445.jpg
 
Kariokoo ambayo ndio inafaa kupambana na Eastleigh inaingia zaidi ya mara tano ndani ya Eastleigh
IMG_20211011_061624_487.jpg
IMG_20211011_061209_470.jpg
 
"Nchi zingine zilipopokea huu mkopo, walitumia kununua chanjo na face mask,Ila Sisi tumeamua kujenga vituo vya afya,kununua CT scan,kujenga madarasa,mradi wa maji,Hospitali,kufufua utalii,MRI kika hospital,kununua madawati etc
-Rais Samia

(Majirani waliiba zote)
Pumbav sana!

huu uamuzi aliofanya nampa kongore kubwa sana!

wakenya wanasema hivyo vitu walishafanya.. sawa, hata sisi tulishafanya.. ila je ratio ya hospital beds per same no of population tutakuwa sawa? ratio ya no of CT scans per same no of population tutakuwa tupo sawa?.. ratio ya no of classes/benches per no of students tupo sawa? etc... kiufupi hata sisi tunavyo.. tulichofanya ni kuongeza huduma/machines ili watu wengi wafaidike na hizo huduma .. ishu nyingine ni Tanzania tunaongoza kuwa na maji sehem nying kuliko Kenya lkn tumeongeza magari ya kuchimba visima ili tupate maji zaidi
IMG_2286.jpg

IMG_2287.jpg

IMG_2285.jpg
 
Back
Top Bottom