Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mawazo kama yako ndo yanafanya tunafungwa kila siku kwanini usiwe na ndoto ya kushinda mechi zote? Una uhakika gani kama ukiendea droo Madagascar watakupa? Taifa stars wakacheze mpira na si kuanza kupanga matokeo!
Kwa sisi ni underdog kwenye hili group hata tusipoingia mtoano poa.But we are determined to surprise them
 
Zanzibar itakua nchi by 2035 mama akitoka usirukaruke haibadilishi chochote. Magufuli alishakufa.
Itakua kwa mawazo ya maria sarungi au🤣🤣 wamekufa kina firauni wewe vp kufa ni lazima kwa kila kiumbe sio hiari wala ombi

Yani hofu kubwa ya mkenya ilikua magufuli yani munamuogopa magufuli kuliko njaa na corona
 
Fumba town 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
20211010_232323.jpg
20211010_232326.jpg
20211010_232328.jpg
 
Miogo ni very expensive bro hawawezi afford ndio maana wanashindia mboga za majani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nlimpa moja challenge ya kutaja vyakula vyao vya asili ,wakitoa chapo,githeri,sukuma na mutura akaishia mitini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom