Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
alivyoingia alisema Tanesco tunatumia gharama ndogo sana (chini ya kiwango) kufanya maintenances.. wacha tufanye hizo maintenance kama anavyotaka
Yanii hizi maitenance haziiishi mpaka kero
alivyoingia alisema Tanesco tunatumia gharama ndogo sana (chini ya kiwango) kufanya maintenances.. wacha tufanye hizo maintenance kama anavyotaka
Natamani watupangie Bafana Bafana 🙂Kuna magroup 10.kwa hiyo Timu no 1 inapita sasa hivi.kwahiyo nchi 10 zitapita sasa hivi.kwa hiyo nafikiri nyie nchi 10 unapangiwa wako ili ipatikane nchi tano watakaoenda kombe la dunia.kwa hiyo sithani kama kutakuwa na mambo ya magroup tena.unaona mambo yalivyo Kwa hiyo tunaweza kufuzuView attachment 1970477
Mali kwa hali ilivyo hata kama kungekuwa na mechi nyingine iliyobaki na Kenya, Kenya wangegongwa dozeni!
Natamani watupangie Bafana Bafana 🙂
Along the same lines Kuna Dual carriage motorways zifuatazo':Summary ya vitu nilivyoskia kwenye hotuba
Transport
Ujenzi wa meli nne na ukarabati wa moja mpya utaendelea mkataba ulishakuwa signed 2 lake victoria, 2 tanganyika ,1 indian ocean
Hajagusia SgR phase 3 au 4 ..phase nyingne zinaendelea
Msalato Int Airport soon
Renovation of Mtwara, Iringa airport
ATC Ndege 5 malipo ..Bil 500 plus yashafanyika, Imepata kibali kutua Middle east countries sijajua ni UAE , Qatar au Saudi arabia
Roads and bridges hajagusia sana ila zinaendelea
Umeme na Nishati
JNHPP inaendelea..iko 55
Ruhidiji na Rumakali hydro we might get loan
Afya
Regional and Zonal hospital on 25 regions zinaendelea
plus vituo vya afya
CT scan na Digital xray kila regional hosp na MRI on selected hosp
Ujenzi wa viwanda vya dawa unaendlea
Kilimo
New fetlizer plant is U/c in Dodoma
New irrigation schemes
Business
FDI up to 3billion usd in 6 months
EPZ 18 new projects
160+ TIC projects
Business registred by Brela number up
Kurasini Logistics centre soon
Toursim
Number increased and likely to increase over coming months
Ntaweka thread ya mkopo wa IMF na utachofanya
Angalia Sasa hivi ITV marudio mkuuAmesema kwenye kikao? Sikupata nafasi ya kusikiliza...
Ww umeona six lanes kweli au roho mbaya inakusumbua 🤣🤣🤣🤣🤣Sasa unataka kulinganisha barabara ya 19km with six lanes without any underpass, overpass or interchanges na Thika road which is 40km with 12 lanes at some sections, have underpasses, interchanges and overpasses.
8lanes vs 8 lanes 🤣🤣🤣🤣wadau, eti hiki kilaza hapa ichoyo, ana try ku compare hii inefficiency na thika superhighway!.. hio vita wacha niwachie NewMembers wachangamke pia nawao
E.g?Donations were given everywhere, even advanced countries received those Jack Maa donations. Again you are back at it with the land argument, even turkana people have parcels land and cattles.😂😂😂😂
Wazee wa gdb na Sisi atukulangi miogo🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye WCQ U20 wamekula 10 kwa mbili.
Kwenye timu wa wakubwa wamekula 6 bila.
![]()
![]()
![]()
Along the same lines Kuna Dual carriage motorways zifuatazo':
Moro to DOM
DOM to Singida
Chalinze to Moshi
Kwani hasara ya kq unajua inaletwa na nn??zote as long as they operate under KQ,,,jamaa washamba sana
Zanzibar ni wapi???🤣🤣🤣🤣Zanzibar sio Tanzania
Mkopo kutoka IMF Summary
Tz inaenda kubadilika on social services
Water
New wells dams and water systems ..nmesahau specs..Magari ya kuchimbia visima na mabwawa
Eduaction
New 15000 Secondary Schools class rooms
New 3700 primary school classrooms
25 New VETA
17 if not mistaken lecture theatres
400k plus madawati
10,800 books for disabled
Afya 440 billion (Nahis percent kubwa )
100 plus Emergency Department buildings
72 New ICUs and equipment kwenye hospital mbali mbali
40 Oxygen plants kila hospital ya mkoa na some zonal na some za wilaya
4000 plus mitungi ya oxygen
2000 plus beds and lockers
CT scan 29 , MRI zonal hospitals , Digital Xray 85
One Stop Centre for Radiological solution kama ku share images
Zanzibar ni ZanzibarZanzibar ni wapi???![]()
Miogo ni very expensive bro hawawezi afford ndio maana wanashindia mboga za majani.Wazee wa gdb na Sisi atukulangi miogo![]()



Kama zanzibar sio tanzania ni wapi kenya au🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zanzibar sio TanzaniaView attachment 1970296