Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huu uamuzi aliofanya nampa kongore kubwa sana!

wakenya wanasema hivyo vitu walishafanya.. sawa, hata sisi tulishafanya.. ila je ratio ya hospital beds per population tutakuwa sawa? ratio ya no of CT scans per population tutakuwa tupo sawa?.. ratio ya no of classes/benches per no of students tupo sawa? etc... kiufupi hata sisi tunavyo.. tulichofanya ni kuongeza huduma/machines ili watu wengi wafaidike na hizo huduma .. ishu nyingine ni Tanzania tunaongoza kuwa na maji sehem nying kuliko Kenya lkn tumeongeza magari ya kuchimba visima ili tupate maji zaidi
View attachment 1970731
View attachment 1970732

ila kule kanda ya kigoma/lake Tanganyika hatuna hospitali kubwa ya kanda kama ya mtwara.. au ndo wanatumia ile ya mwanza bugando
Kuna mpango wa kujenga hospital ya kanda hapa Tabora mkuu,itayohudumia kanda hii
 
Miaka zaidi ya 50 kulikua hakuna hata referral hospital mikoa mingi Tanzania kama Mara ba kwingineko.

Hata hizo za kanda kama Mtwara ni juhudi za huyo unae mkebehi kila kukicha.
Mimi sijakebehi mtu ila nimeeeleza hali halisi! Mbona mtu akitaja facilities za Chato kuhudumia kanda mnageuza maneno? Si ndo plan ilivyokuwa?
 
Kuna mpango wa kujenga hospital ya kanda hapa Tabora mkuu,itayohudumia kanda hii
wafikirie kitu kama hiki

E2qcu0jXoAE2M3X
 
Sidhani,unajua mloganzila ni hospital ya kisasa Sana na ni expensive,huenda ya Tabora ikafanana na ya mtwara.
ila believe me Kigoma na Kagera hiyo mikoa inahitaji kitu kama hicho! Hiyo mikoa ukubwa wake, idadi ya watu na surrounding countries (nchi nne) itakuwa vizuri wakiwa na kitu kama hicho kihuduma na kibiashara pia!

Malagarasi_River.jpg
 

Big up to them! Truth to be told amsha amsha ya Taifa Star imetokea huku!


Tanzania’s regional win evidence of growing depth in Africa



10 Oct 2021
  • Tanzania picked up an upset win in the 2021 COSAFA Women’s Championship
  • Favourites South Africa and Zambia forced to settle for semi-final berths
  • African qualifiers for Australia & New Zealand 2023 due to get underway
Tanzania are the latest nation to demonstrate that the talent pool in African women’s football is growing at an exponential rate. The Twiga Stars proved that upcoming African zone FIFA Women’s World Cup™ qualifiers will be a mouth-watering prospect by upsetting the odds to win the 2021 COSAFA Women’s Championship on the weekend.

As hosts, seven-time champions South Africa started as favourites in the eyes of many, followed by Zambia on their back of their recent breakthrough showing at the Women’s Olympic Football Tournament in Japan.

Instead a guest stole the show at the regional championship for nations in the bottom quarter of the Mother Continent. East African nation Tanzania, along with fellow guests South Sudan and Uganda, helped make up the 12-nation roster for the 22-match tournament played in Port Elizabeth over 12 whirlwind days.




Tanzania, Zambia and South Africa won the three respective groups, with Malawi edging Zimbabwe to join the trio in the semi-finals as the best runner-up. Despite missing their goalscoring powerhouse from Tokyo 2020, Barbra Banda, Zambia again displayed their free-scoring style with nine unanswered goals in the group stage.

Zambia, though, could find no way past Tanzania in the last-four match-up with the Twiga Stars triumphing on penalties.

Malawi made yet more history in the other semi-final with Sabinah Thom’s double earning a 3-2 victory over holders South Africa for a maiden ticket to the final. Conversely, it was the first time that the record holders have failed to make the championship decider.

webimage-Malawi-celebrate-a-goal-at-the-2021-COSAFA-Women-s-Championship.png


A lone second-half strike from Enekia Lunyamila proved enough for Tanzania to edge out Malawi for the title on Saturday. Tanzania’s captain Amina Bilali was named player of the tournament for her performances in midfield.

A penalty shoot-out win saw Zambia claim their fourth bronze medal to go with the silver they picked up in 2019. The was some consolation for South Africa with forward Sibulele Holweni (five goals) top goal-scorer for the second year running following on from her eight goal haul in 2020.

“We’ll make sure that we are in good shape,” said South Africa coach Desiree Ellis said after the tournament’s finale referencing the fast-looming continental qualifying campaign for Australia & New Zealand 2023.

Two rounds of home and away knockout ties will commence later this month, with the top four nations at next year’s 12-team CAF Women’s Africa Cup of Nations to win through to the world stage.

 
Back
Top Bottom