Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Akikujibu ni tag na Mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Steel ndio engineer?
Akikujibu ni tag na Mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Steel ndio engineer?
We are going to witness a rapid boost on social services which is crucial to the real development ..inayogusa wanachi wengi kwa Mpigo...Magu Alianzisha kwa majengo..the equipments are now following ..plus majengo mengine mengi kama EMDs na ICUhuu uamuzi aliofanya nampa kongore kubwa sana!
wakenya wanasema hivyo vitu walishafanya.. sawa, hata sisi tulishafanya.. ila je ratio ya hospital beds per same no of population tutakuwa sawa? ratio ya no of CT scans per same no of population tutakuwa tupo sawa?.. ratio ya no of classes/benches per no of students tupo sawa? etc... kiufupi hata sisi tunavyo.. tulichofanya ni kuongeza huduma/machines ili watu wengi wafaidike na hizo huduma .. ishu nyingine ni Tanzania tunaongoza kuwa na maji sehem nying kuliko Kenya lkn tumeongeza magari ya kuchimba visima ili tupate maji zaidi
View attachment 1970731
View attachment 1970732
View attachment 1970733
nyie na Kagera hamna haja ya Hospitali mtakuja pale Chato!ila kule kanda ya kigoma/lake Tanganyika hatuna hospitali kubwa ya kanda kama ya mtwara.. au ndo wanatumia ile ya mwanza bugando
”nyie hamna haja ya Hospitali mtakuja pale Chato!
Mie sijasema umetokea huko nimesema kama Mtanzania (collectively), mtaenda Chato! mbaya nini kwani?kwan natokea huko? nimesema ‘hatuna’ as Tanzanians.. not that i’m a resident in that region!
Jamaa unapenda ligi sanaNa mie sijasema umetokea huko nimesema kama Mtanzania, mtaenda Chato! mbaya nini kwani?
Jamaa unapenda ligi sana
ligi gani wakati ndo reality on the ground plan ilikuwa kuimega Kigoma na Kagera kufanya mkoa wa Chato! Au nimemtukana mtu?Jamaa unapenda ligi sana
Huyo maria baba yake jaluo mwenye asili ya kunyaland,yule mzee na mungai ndio walioharibu mfumo wetu wa elimu walipokua mawaziri wa elimuItakua kwa mawazo ya maria sarungi au🤣🤣 wamekufa kina firauni wewe vp kufa ni lazima kwa kila kiumbe sio hiari wala ombi
Yani hofu kubwa ya mkenya ilikua magufuli yani munamuogopa magufuli kuliko njaa na corona
Hao ndio wale wakikuona unatetea sehemu fulani basi wanadhani unatokea eneo lile.kwan natokea huko? nimesema ‘hatuna’ as Tanzanians.. not that i’m a resident in that region!