Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We all know that Tanzanian education sector is financed by well-wishers and donors. Tanzania has no muscles to finance her own education requirements. There's no day utaskia Kenya imepata msaada wa pesa kwa ajili ya elimu.
Did I hear you correctly? The same Tanzania which supposedly haiwezi kugharamia elimu, lakini ikaondoa ada za shule na kuweka elimu bure from Primary to Secondary school.
 
Sasa ukisha nunua ndege na budget ya elimu watoto wakae nyumbani sio ndio akili yako inavyokutuma hivyo? Mada hapa ni kununua ndege huku mambo mengine yakiendelea bila kuathiri budget zingine na hiyo inaonesha uwezo wa uchumi wa Tz. Bado tupotupo sana kwenye first financing option government funding, huko kwenye loans and grants tunachungulia kwa mbali ila PPP bado maana serikali yetu haijashindwa bado kutuletea maendeleo.
Naona umekuja kichwa kichwa, nchi inatakiwa iwekeze sana sana kwenye misingi imara km elimu na technology wala sio kununu mindege bila formular..
CAG kaumbua badala mrekebishe mkamuumbua, ndio manake huwezi kuta upuuzi huo katika nchi zinazojielewa kw sababu biashara ya ndege inajulikana ilivyo ulimwenguni
 
Wakati nyie mnachukua internal debt kulipa external debt. Au Unajifanya kusahau?

"According to the Controller of Budget, as recent as August 16, 2021 a syndicated loan of Sh15,035,407,020.70 was due for repayment and the Treasury went to the domestic market to borrow to repay the foreign debt."



Going by your comment I'm pretty sure you don't know the different effects between internal and external debts. Kenya is more comfortable in borrowing internally cause

1. During debt payment, the money paid will remain in the country hence more money circulation in the country.

2. Two, in case the government can't pay the money, something that was used as a collateral will be taken and controlled by Kenyans, and not by foreigners like in the case of external debts. Do you get it now?
 
Did I hear you correctly? The same Tanzania which supposedly haiwezi kugharamia elimu, lakini ikaondoa ada za shule na kuweka elimu bure from Primary to Secondary school.
You are celebrating what Kenya achieved long time ago. That's why I always tell you that Tanzania will forever be behind Kenya. Again that free education you are talking about has been made possible by the financial donations from Sweden.
 
Hata bajeti yetu ya elimu inaweza kununua ndege mpya kila mwaka bila kupumzika, na tunaweza pia bila kutumia hiyo pesa ya bajeti ya elimu kununua ndege 16 ndani ya miaka 5 kama tulivyofanya, kuanzia 2017 mpaka leo tumeshanunua ndege 16 brand new, 11 zimeshatua, that means sisi tupo vizur, kwanini usikubaliane na ukweli.. heb niulize ni taifa gani hapa EA inaweza shindana na sisi.? With in just 5 years, tumenunua ndege 16 cash, na hakuna sector yoyote inayumba na tuna miradi mikubwa kibao tunaendesha ndani ya mda huo huo, kweli sisi sio EA superpower.?
Bwahaha
Jamaa mwehu sana yani point yangu bado hujailewa, kwanza nyie bajeti yenu ya elimu kiduchi ndio manake mnazalisha vilaza tu..
Utakuta professor mzima eti anatema pumba..
Sisi kenya km hujanielewa tunawekeza sehemu yenye manufaa zaidi na wala hatuingii kichwa kichwa lazima tugawe share mahali..tupate ya mgao na ya kodi akili kubwa aisee
 
fear this guys
FBMN09iXMAYorMl.png
 
Jitahidi kuongea vitu unavyovijua tu, ndio uungwana, vitu usivyovijua jitahidi kuuliza uambiwe.. kuongea uongo ni dhambi
GOT imejaza madeni ya nje zaidi ya 70% yani mlivyokua matahira mkanunua mindege alafu mkaiweka chini ya GOT mbona watu wasizimezee mate
 
X-rays 85
CT Scan machines 29
Wakati huku kwetu kila county hospital ina CT scan, ndio inajidhihirisha kweli sasa km mlikurupuka kujenga maghofu ...heri IMF wamekuja kuokoa jahazi..WORLD BANK pande zile nao waliokoa jahazi hku m-japan akiokoa jahazi..

Yani tz ni nchi ya kubahatisha tu
Alafu mwakani utaskia sisi matajiri tunafanya vutu kw cash
 
Bwahaha
Jamaa mwehu sana yani point yangu bado hujailewa, kwanza nyie bajeti yenu ya elimu kiduchi ndio manake mnazalisha vilaza tu..
Utakuta professor mzima eti anatema pumba..
Sisi kenya km hujanielewa tunawekeza sehemu yenye manufaa zaidi na wala hatuingii kichwa kichwa lazima tugawe share mahali..tupate ya mgao na ya kodi akili kubwa aisee
I always wonder what's wrong with these people, why buy planes when you can't built classrooms in your secondary schools? Why buy planes when only 37% of households are connected to electricity? Why buy planes when you still only have 9,000km of paved roads? Finally to make things very funny, they are busy buying planes yet their citizens has no capability to use those planes. They depend on foreigners to use the planes as they remain behind to cheer.
 
Tanganyika na zanzibar ndio iliunda Tanzania ...sasa sijui ni ujinga gani unao kichwani anaweza asiewe mtanganyika lakin ni mtanzania pia mm sio mzanzibar lakin ni mtanzania ...wivu ni wanini nyie fukara
Hapa unajitia muungwana lkn roho inakuuma kuona watu wa asili ya kizenji wanapeta bara
 
See how shameless you are. You are just proud to announce to us all that IMF is financing Tanzanian education
Hawa jamaa wanaokolea na grants, donation na well wiahers..
Nchi haijiwezi ishajinyeaa
 
You are celebrating what Kenya achieved long time ago. That's why I always tell you that Tanzania will forever be behind Kenya. Again that free education you are talking about has been made possible by the financial donations from Sweden.
Yani bila donation hawa majamaa hawaendi
 
Back
Top Bottom