Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Ww kichwa mafiii...kwaiyo Tanzania imetokea wapi?Zanzibar sio TanzaniaView attachment 1970296
Ww kichwa mafiii...kwaiyo Tanzania imetokea wapi?Zanzibar sio TanzaniaView attachment 1970296
Ww ni mafiii...sasa km unapewa mpka stupidy mask...kunakitu utakuwa u auwezo nacho..thats why 90% debt to GDP ratio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] fukaraFace mask ni miundombinu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]fukara hao...alfu wanajifanya nao niwatu sana[emoji847][emoji847]Yaani ss wakenya hata chakula hatupokei donation,ss tume-advance Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706]
Africanews | Latest breaking news, daily news and African news from Africa › k...
China donates 30,000 bags of rice to Kenya, Twitter users ...
28 Aug 2019 — A number of Kenyans are, however, not enthused by the news of donation. Most of them slammed the
Toa mafiii apaa fukara nyie...sasa huoni mnatakiwa mfanyiwe donation [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fukaraa wahediHata kusoma hujui[emoji23][emoji23], this is a donation towards poor children and not towards a country like what's happening in Tz. In Tanzania donations are directed to the treasury [emoji23]
Kukiwa na maana Congo wakishinda wanakuwa nafasi ya kwanza kwa point 8 huku Tanzania ikiwa nafasi ya pili kwa point 7!
Ila naona sawa tu ukizingatia bara hawahitaji huduma za corona!Izo Fedha nyingi Sanaa kwa zenjii aisee
50% internal debt[emoji1787][emoji1787]Ww ni mafiii...sasa km unapewa mpka stupidy mask...kunakitu utakuwa u auwezo nacho..thats why 90% debt to GDP ratio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] fukara
Hta mwanza airport itabidi ikiisha tuwape km donation tuTutole ujinga apa...chakula tuwalishe na mtupigie kelele...kitu mnajua ni kukopa ...alafu mko apa kutuongelea [emoji23][emoji23][emoji23]
Vyakula vitele hela yako tu mzee, sna sana wabongo bei hamueziWw huwez pata nyege wakati tumboni akuna kitu..so tuliza mshono[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Yaonyesha teuzi za mama zinakuponza sana aisee...Akuna cha ungwana ...kwani ukweli una uhusiano gani na ungwana...maumiv peleka ushago
Wazanzibar hawapendi kujiita wadanganyika lakini wanawaongoza tu hadi 2035 alafu wajitoe muungano after kuwaibia[emoji23]Ww kichwa mafiii...kwaiyo Tanzania imetokea wapi?
Mpango wakoMimi kabila langu mgagagigikoko kama ulijui uliza humu watz au geza ulole
Mgagagagigikoko wa bulicheka na Lizabeta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi kabila langu mgagagigikoko kama ulijui uliza humu watz au geza ulole
Kwn we hua wapigwa vingapi[emoji8][emoji8][emoji8] Baby,leo nikupige vingapi?[emoji39][emoji39]
Huwa wanafuatana PM mada ikiwa ngumu kwao anatumwa mtu kuja kuvuruga.hiv mmegundua hawa jamaa mmoja akirud wanarudi wote?[emoji23][emoji23] wanakagrup kingine nn[emoji23]
Amesema ila sio DarAmesema kwenye kikao? Sikupata nafasi ya kusikiliza...
Hii kasi tuliyochomoka nayo sio ya ukanda huu ni ya Europe, hii nchi alitakiwa mtu mmoja wa kutuamsha kutoka usingizini zen yeye akapumzike kwa amani, na ndivyo ilivyokuwa kwamba huyo mtu cku zote atafanywa kuwa benchmark na watakaofuata wote watapimwa kulingana na alichokifanya huyo mtu, asante sana Mungu baba, wewe ni mwema cku zote kwani sasa tumeiona iliyo kweli.Dar-Arusha
Dar-Dom
Dar-iringa
Kujengwa njia nne! That's great!