Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
Mama Samia suluhu ambaye ni Mzanzibar atakua rais wa Danganyika hadi 2035 sababu huu muhula wa (2020-2025) ulikua wa magufuli. So mama atasimama rasmi first term 2025-2030 alafu amalizie muhula wa pili 2030-2035. CCM watamsaidia kuiba kura kama kawaidaKama umekosa cha kuongea mzee kasuuze vyombo huko
View attachment 1970532