komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Km nyie waume ingie sauzHuwa wakishazunguka kwenye jukwaa la siasa na kule twitter basi wanajikuta wanaijua Tanzania![]()
Km nyie waume ingie sauzHuwa wakishazunguka kwenye jukwaa la siasa na kule twitter basi wanajikuta wanaijua Tanzania![]()
Mbona unaweweseka mzee, naona umeanza kujishuku..ile ya sauz je?Unajua hata ile ndege iliyoshikwagwa kanada, ilishikwa kwasababu zipi.? Au kuropoka tu.?
Zote hizo hata iyo ndege iliyoshikwagwa South, unajua zilishikwa Kwasababu gani.?Mbona unaweweseka mzee, naona umeanza kujishuku..ile ya sauz je?
Uambiwe wewe km nani, hatufanani mzee na wala huna faida yyte ile kujua...Hiyo bajeti yenu ya elimu mnatumia kufanya nini kisha.? Mana government schools in Tanzania ni nzuri kuliko za kenya, mtuambie bajeti inayotengwa kwaajili ya elimu mnaitumia kufanya nini au kama kawaida yenu wazee wa kubumba namba.?
Nyie hata mnajiweza.? Hivi uko kwenu kuna kampuni za ujenzi kweli.? Owky heb taja kampuni ya ujenzi ya kikenya inayojenga Mwanza international airport.?Unateseka ukiwa wapi
Kwanza airport yetu mwanza inaendeleaje, hatuwezi wajengea airport alafu nyie humu updates mkae nazo wenyewe
Deni? Ama rubani alikwangua rangi ndio ikashikwa na trafikiZote hizo hata iyo ndege iliyoshikwagwa South, unajua zilishikwa Kwasababu gani.?


Kamuulize waziri wenu atakueleza vizuri, mwanza airport tunawajengea sisiNyie hata mnajiweza.? Hivi uko kwenu kuna kampuni za ujenzi kweli.? Owky heb taja kampuni ya ujenzi ya kikenya inayojenga Mwanza international airport.?
wataelewa tuSoon Mwanza ikikamilika tutakua na 4 International Airports zenye direct flights to n fro abroad then tukimaliza MSALATO itakua ya tano, TZ ndio natural supapawa wengine wanafosi tu 😀
Huo ni uongo sasa, msitupigie kelele na proganda alaf ground hakuna kitu, bajeti kubwa ya elimu alafu shule zako zina hali mbaya kuliko mwenye bajeti ndogo si uwehu huo.? Hamjistukii.?Uambiwe wewe km nani, hatufanani mzee na wala huna faida yyte ile kujua...
We jua tu bajeti yetu ya elimu inanua fleet ya ndege kila mwaka, au hili lia unapinga
Leta facts hapa acha kujitia uwehu kijana, kwanini mnapenda uongo uongo nyie watu.?Kamuulize waziri wenu atakueleza vizuri, mwanza airport tunawajengea sisi
Usipindishe mada hapaHuo ni uongo sasa, msitupigie kelele na proganda alaf ground hakuna kitu, bajeti kubwa ya elimu alafu shule zako zina hali mbaya kuliko mwenye bajeti ndogo si uwehu huo.? Hamjistukii.?



Kheee!!mbona unajitia kujua, kumbe na wewe huna habari..Leta facts hapa acha kujitia uwehu kijana, kwanini mnapenda uongo uongo nyie watu.?
leo tuone nao maroboti watatoka vipi,maana Tff na TAIFA STARS ni kichomi,hata hawa wanawake wanajitahidi kwa uwezo wao binafsi bado hawana professional coach,laiti wakipata wanvekuwa ni bora zaidi ya hapo
Hujui lolote kuhusu Twiga Stars, uliza wakujuzeNyie hamna zaidi ya mashindano ya regions mzee
Sasa km hao ndio wako organised na mchuano wao mkubwa wanaojivunia nao ni cosafa, huoni hyo aibu
Sasa ukisha nunua ndege na budget ya elimu watoto wakae nyumbani sio ndio akili yako inavyokutuma hivyo? Mada hapa ni kununua ndege huku mambo mengine yakiendelea bila kuathiri budget zingine na hiyo inaonesha uwezo wa uchumi wa Tz. Bado tupotupo sana kwenye first financing option government funding, huko kwenye loans and grants tunachungulia kwa mbali ila PPP bado maana serikali yetu haijashindwa bado kutuletea maendeleo.Bajeti yetu ya elimu inanunua ndege kadhaa kwenye fleet ya tz, tena za maana kila mwaka kisha
Hata bajeti yetu ya elimu inaweza kununua ndege mpya kila mwaka bila kupumzika, na tunaweza pia bila kutumia hiyo pesa ya bajeti ya elimu kununua ndege 16 ndani ya miaka 5 kama tulivyofanya, kuanzia 2017 mpaka leo tumeshanunua ndege 16 brand new, 11 zimeshatua, that means sisi tupo vizur, kwanini usikubaliane na ukweli.. heb niulize ni taifa gani hapa EA inaweza shindana na sisi.? With in just 5 years, tumenunua ndege 16 cash, na hakuna sector yoyote inayumba na tuna miradi mikubwa kibao tunaendesha ndani ya mda huo huo, kweli sisi sio EA superpower.?Usipindishe mada hapa![]()
![]()
![]()
Najua unataka kunitoa kwnywe lkn nipo imara mzee baba...
Hapa mada ni kwamba bajeti yetu ya elimu tu inanunua fleet ya ndege kila mwaka bila ya kupumzika, acheni huo uwehu wenu wa kujiona mna uwezo kumbe hamna ili nikujilazimisha tu ili na nyie muonekane mnaweza....