Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwishowe mnaenda kununua mitreni ina vichwa kama lile balale kubwa lina rangi kama ya jeshi hvi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Balale mbona ana Sura nzuri.

IMG_1641.jpg
 
bado ligi ya Tanzania ni Ligi kuu Tanzania.. domain za website itabaki hivyohivyo www.ligikuu.com .. kinachobadilika ni kuweka hilo nbc kwenye matangazo au press au events za ligi.. sioni tatizo..
UK walikuwa wana barclays premier league mwaka 2015/2016.. kuanzia 2016/2017 hadi saiz 2021/2022 hawana main sponsors so itaitwa EPL, sponsor akiwepo lazima jina lake liwepo) .. spain ligi yao inaitwa Laliga Santander.. Santander ni main sponsor.. so hakuna tatizo
Mkuu pengine sijaeleweka, mm ninachosema tuipe jina hii ligi, waingereza mpk leo ligi yao inaitwa EPL japo Barclays alitokea lkn baadaye wakaona ligi yao iitwe hivyo hivyo EPL, nafahamu umuhimu wa mdhamini kwa ligi zetu changa lkn hii ligi iwe na jina lake unique, huenda nisieleweke lkn ningependa cku moja tuwe unique, mdhamini abaki na udhamini wake lkn asipelekee jina la ligi kubadilika hata kama tutaliongezea jina la mdhamini lkn Identity ibaki pale pale kwamba ukitaja jina fulani ujue inamaanisha ligi kuu Tanzania bara.

Sisi tunaweza kuanzisha mambo na wao wakakopi vile vile.
 
what are you even struggling to explain 😄😄😄 apart from failed brt which other means of transport does dar has inside the city???
Ooh kumbe lengo lako ni kujichekesha,, haya nimekuacha endelea kujifurahisha..
 
How do measure the reality kwa ground???have you found any Kenyan begger in Tanzania????but here in Kenya your begging is too much with toxic Swahili language
Vini, juzijuzi nilikua kisumu, niligongana na watanzania wengi sana, mwanzo Kondele area. then kulikua na wamasai kibao tu, mm kuulizia mbona hawa wamasai wote in luoland, chenyeniliambiwa ni kwamba, hawa wamasai wooote.. unayowaona hapa sio wamasai wakenya perse.., ila wote hawa watanzania toka serengeti, sijui arusha, sijui moshi. etc
niliamini coz kiswahili chao ilikua imekolea. ilikua imeenda shule. sijai skia wamasai wakiongea kiswahili kama hicho, ata wananishinda
 
Atc inaenda mpaka Guanzhou ona jinsi ulivyokuwa hujui habari za Tz, commuter rail zipo on 3 lines na mpaka hapo i am 100% sure kuwa hujui chochote kuhusu tz ila unahadithiwa na asiyejua.
Huyu mwamba namfatilia Sana amelala usingizi wa paka wa dukani 😃😃😃😃😃
 
Vini, juzijuzi nilikua kisumu, niligongana na watanzania wengi sana, mwanzo kondele area. then kulikua na wamasai kibao, mm kuulizia mbona hawa wamasai wote in luoland, chenyeniliambiwa ni kwamba, hawa wamasai wooote.. unayowaona hapa sio wamasai wakenya, ila wote watanzania toka serengeti, arusha, moshi. etc
niliamini coz kiswahili chao ilikua imekolea. ilikua imeenda shule. sijai skia wamasai wakiongea kiswahili kama hicho, ata wananishinda
Mmasai na kiswahili wapi na wapi, ninyi hamna akili, huwa najiuliza cjui mnaishije na upungufu wa akili mlio nao, hata ku argue tu hamuwezi, mna argue kindezi ndezi sn.
 
Back
Top Bottom