Unafikiri hawajui basi wanajua sana ila kiburi tuu wanakua kama watu umewakurupua usingizini hawaamini kinachoendelea.Hawa jamaa watakuja kushituka when it's too late
Siunajua matokeo ya kibri![]()
Unafikiri hawajui basi wanajua sana ila kiburi tuu wanakua kama watu umewakurupua usingizini hawaamini kinachoendelea.Hawa jamaa watakuja kushituka when it's too late
Siunajua matokeo ya kibri![]()
Tuendelee kwa enjoyUnafikiri hawajui basi wanajua sana ila kiburi tuu wanakua kama watu umewakurupua usingizini hawaamini kinachoendelea.
Kuomba misaada ya chakula?Thats the work of the governor, yani ukiulizwa unashangaa nini..km hujui namna ya office of the governor inavyofanya kazi kaa utue mzee





Kilimani ni ndogo kwa Westlands lakini inazidi dar kwa upanaWestlands ndo nn mji au kasehemu kadogo kenye nyumba mbili tatu![]()



Umasikini ndio tunaoshughulika nao Sasa hivi, tunakila sababu ya kuamini kwamba tutaushinda kwasababu ya misingi imara aliyotuachia Nyerere. Kenya kamwe hamuwezi kupambana na umasikini kutokana na kwamba nchi yenu haina "strong foundations" ya kujenga uchumi, ambayo ni, Amani, utulivu, uzalendo na umoja. Kila baada ya miaka 5 Kenya inarudi nyuma miaka 4Mna hayo mambo yote ile umasikini bado ni tatizo kubwa huko kwenu? Huoni hicho kinaya?



sawa baçi, then this is your 'Midongo Myekundu Bypass' a.k.a Dongo Kundu Bypass.. 🔥💥 see for yourself👇🏽👇🏽👇🏽a.k.a miji ya midongo myekundu, full vumbi.
Wacha kelele, soma ripoti ya tume iliyoundwa na bunge lenu ili kuchunguza dhuluma iliyofanywa na viongozi wenu baada ya Uhuru katika kujinyakulia ardhi(Ndungu's report), pia soma kitabu cha Ngugi wa Thiong'o cha "This time tomorrow", hujui kitu kuhusu historia ya Kenya.





hata historia ya nchi yake haijui,,huyo si kichaa
umesahau,hao kwa elimu bora ni speak englishNimeanza kukudharau tayari, owky nyie mpo kwenye top 20 best universities in Africa sawa , vipi wakufunzi wenu wanaweza kutengeneza hata barabara.? Ikiwa kila siku gorofa zinaanguka huko kwenu, wakufunzi wenu sindio hawa wanamuuzia mchina nchi yenu mkiwa macho.? hiyo ni elimu bora.? Au unavyojua wewe elimu bora ni kujimwambafai kwenye top list kwa maneno tu na maandishi.? fala kweli we jamaa.. elimu bora ni matokeo ya ufanisi wake sio kelele, kampuni za kizalendo tz zinatengeneza karibu kila kitu njoo kwa ground uku ujifunze, tunazalisha viongizi bora wa mfano Africa, na hiyo ndio maana ya elimu bora.. Una elimu bora huwezi kujenga hata barabara ya km 10.? Elimu bora unaangusha magorofa kila asubuhi, una elimu bora unazalisha viongizi walevi kama Uhuru.? Nyie hamtuwezi kitu ni wapumbavu tu
Uyu jamaa bhn kamchoro kake amekang'ang'ania mwaka wa tatu huu na hajawahi kueleweka hata na wakunya wenzie, ana ndoto kali snKilimani ni ndogo kwa Westlands lakini inazidi dar kwa upanaView attachment 1964453View attachment 1964454






hayo majengo ni haibu kwa kweli,yapo hovyo sanaHii nayo ni river estate Ngara na majengo tisa ya 34 flrs kila moja na hatuna kelele kama wabongolalaView attachment 1964447View attachment 1964452









Hapa kuna majengo mangapiHapa karibu na GTC kuna majengo tisa ya over 20 flrs na kuna project kubwa hapo ojijo road but haijulikani ni majengo mangapi badoView attachment 1964442





Wamejenga 'state-of-the-art', 😁😁😁markets, cha kushangaza wafanyabiashara hawafanyi kazi zao mle! 🤣 🤣 🤣 Hivi unajenga kijijini bonge la market bila kufanya research, unatarajia nn??? 😂 😂 😂Without widely private investments and coporations ata mjenge kiwanda ya ndege bado mtanikia tu mpunga😄😄😄




Westlands gani au kuna nyingine?