Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20211005_093526.jpg

Mtwara LNG concept
 

Iringa gets most of its villages into responding to vaccination drive

5. Oktober 2021
05Oct 2021
Friday Simbaya
Iringa
News
The Guardian
Iringa gets most of its villages into responding to vaccination drive

IRINGA District has reached all 134 villages with sensitization on the importance of receiving vaccine to prevent severe effect of COVID-19, leading to increase in response to jab uptake.

Johnson%20vaccine%20ed.jpg


District immunization services coordinator Sospeter Tiara said in an interview yesterday that people in all the villages have been motivated to the point where some clinics have run out of vaccines and are thus seeking help from other facilities.

“The district council received a total of 5,000 doses of Johnson & Johnson’s Janssen jabs and around 3,000 have already been administered to the people,” he said.

Jab delivery services attained that point given the preparations before the start of the exercise arising from the health sector accelerated plan for COVID 19 coordinated by the Ministry of Health and the President’s Office – Regional Administration and Local Governments (PO-RALG), in which case as a district they were able to provide education in the villages on the vaccine.

"Initially, many people were afraid of the vaccine and many had questions about this vaccine and therefore did not readily respond, but since the start of this programme we have been able to provide education and reach the people where they are, including houses of worship and other places,” he said.

On the women's side, the coordinator said that adequate education to the people worked, so women have been able to show up in large numbers. Earlier women believed the vaccine prevents reproduction, he stated.

Kimande Health Center medical officer in charge Salim Salim said that they have been able to work with the Itunundu village authorities in providing education in homes and even places of worship and thus increase the level of motivation among the people.

“We also thank Isimani MP William Lukuvi for coming to the ward and mobilizing Itunundu ward residents, assuring them that the vaccine is safe.

Initially, maternal and child care coordinator Leonida Kalinga said that now mothers have begun to understand as previously they did not know what the vaccine was all about.
When they come to the mother and child clinic educational material was imparted and they were able to access the jab service, putting aside the many questions they were asking earlier, she stated.

At the same time, the government in Iringa region has increased the provision of Covid-19 vaccines from 15 centers to 231 centers to move the service closer to the people and speed up the exercise.

Regional Commissioner Queen Sendiga made this observation when meeting primary health care committee bringing together various stakeholders to map out an education drive to get people turn out for the jab.

Regional administrative secretary Happiness Seneda said that since the start of education and promotion of COVID 19 vaccination, the number of those being vaccinated has increased.

Religious leaders and other stakeholders commended the government for implementation of the health sector accelerated plan for COVID 19, seeking to increase the number of vaccinated people.

Education should continue to be provided and reach more residents in the region, they added.

 
Hatutaki machinga tunataka wafanyabiashara,machinga ni matokeo ya sera za Uchumi zilizofeli za Mwendazake.

Machinga anafaida ipi zaidi ya kuchafua mazingira?

Machinga unakuta nje ya ofisi anapika, barabarani anapanga bidhaa yaani popote pale yeye anafanya..

Tunajenga uchumi mkubwa wa enzi za JK Ili Machinga awe mfanyabiashara na watu wapende kujiajiri kama enzi zile,awamu ya tano hakuna mtu alitaka kujiajiri bali kuajiriwa na Serikali kwa sababu uchumi ulianguka..

Kila kukicha ni habari mpya za uwekezaji

View attachment 1963300

View attachment 1963301

View attachment 1963302

View attachment 1963303

View attachment 1963304
Machinga maana yake ni wafanyabiashara wadogo, nina ndugu yanguu alikuwa machinga kwa mtaji wa 50000/, akaja kuwa na maduka ya viatu, leo hii ana Big hardware, prado na anajenga jumba la gorofa. Ndugu, machinga ukichukulia kama neno tu linakukatisha tamaa, lkn ukichukulia km ni wafanyabiashara wanaoanza ila watakua, basi una heri. Tena ni within 12 years. Heshimu watu wako. Hao ndio wanunua Luku sana, wanunua vocha sana, wanunua bidhaa humo madukani, tena hao hununua bidhaa za jumla ndugu.
 
Mpaka tufike huko itakua tumewapoteza watu wengi, hii kitu ni kuhusu maisha ya watu sio kuhusu Bei za mazao mkuu, lazima tuwakinge raia wetu kwa gharama yoyote kabla hatujachelewa
Huko wapi wakati hata mwaka nanusu tu unatosha kupata hakika ya chanjo tena kwa bei nafuu!!!...wazungu wanajua chanjo itapoteza soko muda mchache baada ya wao kumaliza kuchanja hivyo bei itapungua kwa zaidi ya asilimia 80% hivyo wanatuingiza kwenye mikopo ya kutupatia chanjo kwa bei hii kubwa ili wapate faida wakati chanjo imeshuka bei ,shika sana haya maneno yangu ,ndiyo maana mama samia analazimishwa kuchukua chanjo wakati huu hata kwa mkopo
 
MGR itabaki kuwa mgr tu mzee hata ipakwe rangi ya mawingu
Haijalishi sio MGR tuu bali ongezea efficient continuous welded MGR with possibility of electrification in the near future since iko in parallel alignment with SGR. Miundombinu yote ya umeme imeshafanyika kwa sgr ni kufanya connection to to mgr ambayo itahusisha errection ya poles for catenary cables.
 
Machinga maana yake ni wafanyabiashara wadogo, nina ndugu yanguu alikuwa machinga kwa mtaji wa 50000/, akaja kuwa na maduka ya viatu, leo hii ana Big hardware, prado na anajenga jumba la gorofa. Ndugu, machinga ukichukulia kama neno tu linakukatisha tamaa, lkn ukichukulia km ni wafanyabiashara wanaoanza ila watakua, basi una heri. Tena ni within 12 years. Heshimu watu wako. Hao ndio wanunua Luku sana, wanunua vocha sana, wanunua bidhaa humo madukani, tena hao hununua bidhaa za jumla ndugu.
Regardiless of what,haikupi haki kujifanyia hovyo hovyo na popote,hii ni nchi ya utaratibu..

Unfortunately huyo ndugu yako alikuwa Machinga kipindi cha kabla ya Mwendazake.
 
Machinga maana yake ni wafanyabiashara wadogo, nina ndugu yanguu alikuwa machinga kwa mtaji wa 50000/, akaja kuwa na maduka ya viatu, leo hii ana Big hardware, prado na anajenga jumba la gorofa. Ndugu, machinga ukichukulia kama neno tu linakukatisha tamaa, lkn ukichukulia km ni wafanyabiashara wanaoanza ila watakua, basi una heri. Tena ni within 12 years. Heshimu watu wako. Hao ndio wanunua Luku sana, wanunua vocha sana, wanunua bidhaa humo madukani, tena hao hununua bidhaa za jumla ndugu.
Regardiless of what,haikupi haki kujifanyia hovyo hovyo na popote,hii ni nchi ya utaratibu..

Unfortunately huyo ndugu yako alikuwa Machinga kipindi cha kabla ya Mwendazake.
 
Watanzania wengi walisha tengeneza kinga ya asili kutokana na kujichanganya mwaka jana. Hizi "chanjo" bado hatujui long term effects zake.

Kama kweli "chanjo" ni hiari kwa nini wanahamasisha watu kwa kutumia maafisa wa serikali, mbona hakuna maafisa wanaohamasisha watu wasichanjwe?

Kazi ya chanjo ni kuchochea mwili utengeneze antibodies, kama kweli wanajali maisha ya watu, kwa nini wasifanye mchakato wa kufanya serology test (antibodies) kujua kama kweli watu wanazo zile za asili kabla ya kuwawekea madudu wasiyoyajuwa.
Mkuu dunia inaongozwa kitaalamu, sio kwa hisia za watu au matakwa ya watu binafsi. Kama dunia hii ingeendeshwa kwa kutumia mawazo binafsi ingekuwa ni fujo.

Katika ngazi ya kidunia, WHO ndio wenye wataalamu waliobobea katika kiwango cha kidunia (Sio kiwango cha nchi) ambao wanajukumu la kutoa miongozo yote yenye kuhusu magonjwa na madawani, nchi zote zinapaswa kufuata na kuheshimu miongozo inayotolewa na WHO, kwasabu wataalamu wa Afya waliopo WHO ni matokeo ya uwekezaji mkubwa wa dunia nzima.

Unapokuja katika ngazi ya nchi Moja Moja, wizara ya Afya ndio yenye wataalamu na vifaa vyote vyenye kuweza kuwa na uwezo wa kutoa ushauri na mamlaka kuhusu Mambo yote yanayohusu Magonjwa na madawa. Uwezo huu unatokana na uwekezaji mkubwa unaofanywa na sisi wananchi kupitia serikali, tunapoteza pesa nyingi Sana katika kuwasomesha wataalamu wa Afya ndani na nje ya nchi kila mwaka ili waweze kumudu kazi zao.

Mkuu, Kama WHO na Wizara ya Afya wote wameridhia chanjo zitumike, ni Jambo la kushangaza na kusikitisha kuona/kusikia mtu ambaye hayupo katika ngazi ya kidunia (WHO), Wala ngazi ya Kitaifa(Wizara ya Afya), kuvikosoa kirahisi.

Mkuu, Sasa Kuna umuhimu gani wa kuwekeza katika wataalamu Kama sisi wenyewe hatuwaamini Wala kuwaheshimu?, Unapata wapi ujasiri wa kutilia mashaka chanjo ya Corona lakini usiulize uhalali na usalama wa dawa za Malaria, TB, Cancer na dawa zingine ambazo zote zilipitishwa na WHO na kuidhinidhwa na Wizara ya Afya kwa mfumo huo huo uliotumika kuhidhinisha chanjo ya UVICO- 19?.

ARE YOU REALY HONEST WITH YOURSELF?
 
Back
Top Bottom