Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Jamaa huyo ni mbaguzi alafu anachuki zisizokua na sababuu mtu utasemajee jpm alikuaa ana mawazo ya kibishara wakati kila kona alikuaanaboresha miuondombinu ili kutengeneza mazingira mazuri ya biasharachuki zisizo na msingi wowote.. wacha niwaache niendelee kusoma comments tu[emoji23]