Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_2141.jpg

IMG_2143.jpg

IMG_2145.jpg

Dodoma bus Terminal Vs Nairobi bus terminal
IMG_2291.jpg
 
Vitambulisho vya wajasiriliamali

Vya Mwinyi (Vya Biometric)




VS


Vya Magufuli (vya Ultraviolet light 🙄)
 
Yeah huyo tumuacheni tu aweke siasa but cc tusim quote cz hatuna uwezo wa kumtoa, hata mods pia hawana uwezo wa kumtoa kwasababu kila mtu ana haki ya kusema atakacho ilimradi tu asivunje sheria za JF.

Hatumkatazi kuweka kile kinachompendeza tatizo jamaa ana visasi, utakuta anaweka habari nzuri tu kuhusu Rais Samia lkn mwisho lazima aweke maneno ya visasi which means yeye mwenyewe kuna baadhi ya mambo yanayofanyika serikalini hakubaliani nayo ila tu ni kwasababu ana visasi na ndiyo maana anaweka maneno flani flani ya kujiliwaza na kusubiri kuona kama kuna mtu atakereka zen yeye apate relief, so dawa yake ni kumpotezea tu ili akale alipopeleka mboga.
Wakenya wameshukuru huu uzi kubadilika wapo kimya hata awataki kulalamika kuhusu kubadilika kwa huu uzi kumbe jamaa maji yaliwafika shingoni unaona walivyo nyamaza kama sio wao
 
Back
Top Bottom