Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huko mtu aliongea mambo ya jinsia na corona kama corona imeanza jana.


Hata ingeanza kesho ,mambo ni ♨️♨️ mambo iko hivi 👇

Screenshot_20210923-230009.png
 
watu wanamchukia mama wako so wrong u can't be the master of all trades!

JPM alikuwa mzuri kwenye infrastructure ila mama ni mzuri kwenye trade/business/commerce! Yaani budget yake imegusa kila mahali (6 months in power) ila watu wanampinga! Na mama kamrudisha Prof. Mbarawa Ujenzi na Uchukuzi maana alijipambanua vizuri alipokuwa pale!

Jamani mambo mazuri hayataki papara!

Mkuu unamhurumia mama as if nchi ni kama familia yake,
she is the president let her face that severe criticism, rejection and all the shit, that’s how it takes to be a president. And she knows it very well or she is free to resign.
Kiti cha urais si kiti cha watu dhaifu, wavivu, incompetent na wazembe.
 
UNWTO summit 2022 to be held in Arusha!






MY TAKE
Kuna wengine walizuia kabisa summits na conferences na wakati huohuo wakijua sehemu kama Arusha na Zanzibar zikitegemea utalii unaoingiza karibu $4 bln (pamoja)! isitoshe wakaanzisha mbuga vijijini kwao na kuwekeza pesa ndefu kwao! Pia alitoa ruksa wamachinga kutandika biashara zao mbele ya maduka yanayolipa kodi stahiki! Truth to be told biashara was purely not his trade!


Sisi tukimkosoa maza unaanza mara sijui chato gang mara sijui tunamdharau mama mara mfume dumee ila wewe unapayuka tuu we ndio unaleta fikra zako za ubaguzi umu, mtu mzima ila una akili kama za panzi bana
 
Sisi tukimkosoa maza unaanza mara sijui chato gang mara sijui tunamdharau mama mara mfume dumee ila wewe unapayuka tuu we ndio unaleta fikra zako za ubaguzi umu, mtu mzima ila una akili kama za panzi bana
Air Tanzania haiendi tena Chato kulikoni? Si alijenga mahoteli kule na kujenga ferry? Na kuanzisha Chato-Burigi?


















2940252_Screenshot_20210924-135118_Flightradar24.jpg
 
Mtu unasemaa ana wazo la biashara ilhali alikuaanaboresha bandari za Tanzania na reli zilizokua zimekufa ili kupunguza dominace ya bandari ya mombasa in East Africa, nishakumbia chuki zako zimepunguza uwezo wako wakufikiri, mtu huyo huyo aliamua kujenga jnhp ili gharama za umeme zije chini ili kuvutia wawekezaji
Then ukaua utalii unaotuingizia 17% ya GDP yetu sio? Corona imeanza baada ya Samia kuingia madarakani? Mbona asitoe relief tangu akiwepo?
 
Mtu unasemaa ana wazo la biashara ilhali alikuaanaboresha bandari za Tanzania na reli zilizokua zimekufa ili kupunguza dominace ya bandari ya mombasa in East Africa, nishakumbia chuki zako zimepunguza uwezo wako wakufikiri, mtu huyo huyo aliamua kujenga jnhp ili gharama za umeme zije chini ili kuvutia wawekezaji

na ndege za AirTanzania.. most time alikuwa anasema tunataka watalii lkn hatuna ndege.. akili gani hizi.. ndo mana nimeamua kununua ndege zetu wenyewe ili tupate watalii wa kutosha
 
SUMA JKT wakabidhiwa eneo la Kurasini wajenge ukuta acre 54 Sijui sisi wabongo tunafeli wapi kila jengo au mradi tunaweka ukuta gharama ni kubwa na pili unaharibu hadhi ya jengo au mradi husika.

I hate walls, nlikuwa very much disappointmented na ule ukuta pale udsm
 
Aliauaje utalii ebuu elezaa wakati before corona revenue ya utalii ilikua over 2b $ in his era tukampita mpaka mkenya kwenye mapato ya utalii
tangu aingie msukumo wake haukua conference tourism ilidorora pili hata Bureau de Change akafunga tatu punguzo la tozo limeombwa siku nyingi sana akakaa kimya!

 
Back
Top Bottom