Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SUMA JKT wakabidhiwa eneo la Kurasini wajenge ukuta acre 54 Sijui sisi wabongo tunafeli wapi kila jengo au mradi tunaweka ukuta gharama ni kubwa na pili unaharibu hadhi ya jengo au mradi husika.
kwahiyo unataka watu wavamie hilo eneo halafu tuwalipe tena fidia?

Swali: Ubungo EPZ ina fence au haina?
 
Walipeleka wapi mpunga, mbona mikoa mingine walijenga na kumaliza za kwao?
Hata sijui nadhani mpunga ulikuwa mdogo tangu mwanzo sidhani kama kuna abrakadabra PM asingeweka jiwe la msingi! Amekataa kuweka jiwe la Msingi huko Karagwe!
 
UNWTO summit 2022 to be held in Arusha!

MY TAKE
Kuna wengine walizuia kabisa summits na conferences na wakati huohuo wakijua sehemu kama Arusha na Zanzibar zikitegemea utalii unaoingiza karibu $4 bln (pamoja)! isitoshe wakaanzisha mbuga vijijini kwao na kuwekeza pesa ndefu kwao! Pia alitoa ruksa wamachinga kutandika biashara zao mbele ya maduka yanayolipa kodi stahiki! Truth to be told biashara was purely not his trade!
 
SUMA JKT wakabidhiwa eneo la Kurasini wajenge ukuta acre 54 Sijui sisi wabongo tunafeli wapi kila jengo au mradi tunaweka ukuta gharama ni kubwa na pili unaharibu hadhi ya jengo au mradi husika.
Waweke Cleavu fence itachukua mda mfupi na ita cost less:
 
Hata sijui nadhani mpunga ulikuwa mdogo tangu mwanzo sidhani kama kuna abrakadabra PM asingeweka jiwe la msingi! Amekataa kuweka jiwe la Msingi huko Karagwe!
Unaweza kukuta gharama za kulipa fidia zilikuwa kubwa sana, maana wajomba zangu wanaijua sana ngurugu🙂
 
yaani wewe baba mbona hua unamipasho kama ya kike! Kwani ukiongea vizuri huwezi kueleweka?unatoka jamii ipi?

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Natoka jamii ya apunguani kama yako,mimi sio baba yako usinizoee siwezi zaa muuza mbususu jukwaani pumbavu..

Mbona wewe kima jike umeshindwa kuongea kistaarabu ? Huna akili
 
Back
Top Bottom