Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

another one
View attachment 1950568
ebu mtu ajitolee kununua haya magazetu Mwananchi/The Citizen apige picha habari tusome yaliyoandikwa
Mi naona kama single source procurement itafanyika ila kwa competitive bidding process nadhani kuna uwezekano wa kupata good deal! Kutokana na ulicho-post inakaa TRC wanataka kumpa Yapi Merkezi kimagumashi! Na tatizo lipo hapo kuwapa lot tatu Yapi Merkezi is too risky wakiwa wanaelekea mwaka wa tano kukamilisha lot 1 electrical SGR Dar-Moro!
 
mkuu tumekubaliana,achana na huyo jamaa anatuharibia uzi ukimquote ndiyo unampa bichwa mpotezee

maana huwa hana hoja zinazoendana na huu uzi kila siku hoja zake ni hizo hizo,anatuletea siasa
Ngoja basi tumpotezee tatizo huyu shoga katumwa ndiyo maana nilitaka mniachie mm tu
 
kumbe ni huu mradi [emoji91]
kurasini industrial park, trade and logistics centre
View attachment 1950616
View attachment 1950617
watu wanamchukia mama wako so wrong u can't be the master of all trades!

JPM alikuwa mzuri kwenye infrastructure ila mama ni mzuri kwenye trade/business/commerce! Yaani budget yake imegusa kila mahali (6 months in power) ila watu wanampinga! Na mama kamrudisha Prof. Mbarawa Ujenzi na Uchukuzi maana alijipambanua vizuri alipokuwa pale!

Jamani mambo mazuri hayataki papara!
 
obtained independently by the Citizens [emoji23][emoji23]
majamaa wapo humu
View attachment 1950618

Hahah ndo ubaya wa kuwa discrete ungeweza kudai malipo baba! Ila najua kamwe huwezi kujitokeza kutoa madai! 🙆‍♂️ 🙆‍♂️ 😅 😅
BTW huyu Masanja asipojiangalia ataondolewa halafu watu wa kanda ileee walalamike humu!
 
hehee nina ulinzi wa JF!

kuna mjadala huku watu wameuanzisha
Huo mvutano kuna mkono wa Mchina tuu hapo maana wao ni hodari wa mambo hayo.
 
Huo mvutano kuna mkono wa Mchina tuu hapo maana wao ni hodari wa mambo hayo.
wacha upotoshaji wa kikenge! sheria lazma isimamiwe! Mchina ndo katunga procurement laws Tanzania? Huyu Masanja anapaswa kuondolewa pale TRC nadhani anafikiri project za TRC za babake! Yaani CEO mzima hana respect of procurement laws? Yale madudu ya kujiuzia nyumba za railways na nduguze na kupewa fidia mara kumi bado anaendeleza!
 
Waandishi uchwara na mashabiki wao..JK alikuwa anatumiwa mara nyingi tuu kwenye shughuli za kimataifa na Mwendazake..

Mara kadhaa wamekutana Ikulu nk lakini JK hakuwahi acha kurusha vijembe kwa Mwendazake akiona anavuka Mipaka hadi Mwendazake akaanza kusema mara ooh Sijui wanawashwa washwa mara sijui mniachw nk..

Ni hivi JK ni Mwanausala muandamizi na siasa kaanza.toka enzi ya Mwalimu huwezi kumkwepa kwenye masuala ya utawala uwe unampenda au humpendi..

Good enough kwa sasa ndio Kiongozi mstaafu pekee aliyeko kutoa muongozo na ushauri pale inapobidi na Rais Samia lazima ata muapproach kuomba ushauri kwake,Mwinyi ni Mzee anapoteza kumbukumbu..

Hata usipomuomba Ushauri anakuacha kwani lazima? Kwanza ana ahughuli nyingi za kufanya Duniani Sio Kama wale wengine useless ukitoka madarakani habari Yako inakuwa imekomea hapo..
Jinga kabisa wewe dume zima unagawa ccm[emoji304][emoji304] [emoji849][emoji849] ccm nje nje[emoji1787][emoji1787]
Ila wazeiya issue za kipolitics hili sio jukwaa lake wakuu
 
Back
Top Bottom