Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona Mkenya anasema Kenya inajenga Meli kubwa kupita zote Ziwa Victoria... Aisee huyu akapimwe mkojo Meli za Kenya ni sawa na mitumbwi kwa Meli za Tanzania.

Tanzania ina Meli zaidi ya 20 operational na Bado inajengwa Ziwa Victoria ambapo Kenya ndio Kwanza Meli wanayaaminia ni sawa na mfu...

Tanzania ina Chelezo kubwa Kuliko zote Africa inafanywa kazi Sasa sijui Wakenya meli zao wanabeba na mkono

View attachment 1933697View attachment 1933698
Sorry, I don't deal with Wikipedia 😂😂
 
Mpaka tunapoongea sahivi hakuna meli kubwa Lake Victoria zaidi ya New Mv Victoria, na hyo rekodi itavunjwa na Mv Mwanza, meli kubwa zaidi lake Victoria.

Btw wewe ni mpumbavu mmoja uliyekata tamaa kabisa, huwa unaleta masihara kwenye vitu serious.
Endeleeni kuota😂😂😂, the biggest ship in lake Victoria currently is MV Uhuru I, the record will be broken by another Kenyan ship which MV Uhuru II at 100m.
 
Mpaka tunapoongea sahivi hakuna meli kubwa Lake Victoria zaidi ya New Mv Victoria, na hyo rekodi itavunjwa na Mv Mwanza, meli kubwa zaidi lake Victoria.

Btw wewe ni mpumbavu mmoja uliyekata tamaa kabisa, huwa unaleta masihara kwenye vitu serious.
Hehehe ati MV Victoria? With 80m ndio ikuwe meli kubwa in lake Victoria?🤣🤣🤣😂
 
Mv Uhuru vs Mv Victoria, mambo mengine ni upumbavu kujadili
Screenshot_20210911-192331.jpg
Screenshot_20210911-192457.jpg
 
watu wanajenga cargo barges wanadai meli!
Kwani hizo cargo barges ni gari ama ndege?🤣🤣😂.

Let me repeat to you all once again, the biggest ship in lake Victoria currently is MV Uhuru I, the record will be broken by MV Uhuru II. Zote ni meli za Kenya😂😂
 
hiyo si meli ni wagon ferries na Mv Uhuru I ni sawa na all other wagon ferry iwe Mv Kawa au Mv Umoja au Mv Pamba! Na isitoshe design ya cargo ferry mpya ya Tanzania haijatoka!
 
Back
Top Bottom