Tembea uone acha kujificha kiberaHakuna basi la dar moro pekeake, narudia tena
Hayo yote yanaunganisha route zingine
Tembea uone acha kujificha kiberaHakuna basi la dar moro pekeake, narudia tena
Hayo yote yanaunganisha route zingine
Tembea uone acha kujificha kibera
Ila nyie wakenya mnachekesha sana 😂😂 hujawahi kufika hiyo miji so huna unachojua, Mwanza imeendelea zaidi kuliko mji wowote Tanzania ukiitoa DSM, by the way nimefanya kazi Arusha after form six, nimesoma chuo Mwanza miaka mitatu likizo zote nimetumia Arusha, naijua hiyo miji nje ndani, Tafuta nauli uje mimi ntakua mwenyeji wako, Ili ujionee ambavyo Mwanza imeendelea, hivyo vipicha visikudanganye.. kenyans kumbe mnasumbuliwa na kuto tembea..watu wa Arusha huwa wanaenda Mwanza kwaajili ya kutafuta maisha, biashara na starehe..Arusha is far better than Mwanza mji wa kishamba una muonekano wa kuchoka.., hii 👇 👇 ni better on average than dar is slum.,
View attachment 1932908
Tena hakuna route inayolipa kama Dar Moro hesabu yake nzurihiv kwan mfano abood si ana magar yanatoka Dar na kwenda Morogoro na kurudi Dar? au anatakaje nyie mnaemuelewa
Hawa jamaaa ni wapumbavu sana. Toka miaka mingi mabasi kama Abood, Islam, BM, New force nk. Yanatoka Dar-Moro-Darhiv kwan mfano abood si ana magar yanatoka Dar na kwenda Morogoro na kurudi Dar? au anatakaje nyie mnaemuelewa
AlisikikaHakuna basi la dar moro pekeake, narudia tena
Hayo yote yanaunganisha route zingine

nyani mmoja kutoka kibera aki kasemaTangu mm ninasoma primary hiyo kampuni ipo abud buse na mengineSitaki gari zinazoenda moro mimi
Nataka kampuni ambayo inayopiga dar moro pekeeake km mnavyojisifia eti 100km route ina mabasi yake na wakati ni vile vi mini-bus vyenu vichafu vya mijistika iliyochakaa
Magu alikuwa na wazo la kuingiza historia kama hizi kwenye vitabu vyetu but vidampa wa Wazungu wameahirisha baada ya mzee kufariki, Africa tuna safari ndefu sana, yn historia za ukweli na zenye tija kwa nchi hatuzitaki bali tunataka historia za "binadamu wa kwanza alikuwa nyani na alikuwa mweusi".nice narrative here too
Hawakuwa wanaijua vizuri Tz, now wameanza kuelewa kwnn hii nchi ni kubwa na yenye maendeleo kuliko nchi zote ukanda huu.Hawa jamaaa ni wapumbavu sana. Toka miaka mingi mabasi kama Abood, Islam, BM, New force nk. Yanatoka Dar-Moro-Dar
I'm sure you don't know that Jambojet is fully owned by KQ😂😂😂🤣KQ imepotelea wapi? Mnavyojitapa eti pride of Africa.
I'm sure you also don't know that KQ has 41% shares in Precision Air😂😂, yani uchumi wa Tanzania imeshikwa na wakenya. Starting from Banking, media, Aviation, manufacturing, education, construction, management etc.KQ imepotelea wapi? Mnavyojitapa eti pride of Africa ,ATC tunakuja Congo kwa kishindo sio ushenzi
huo mliowapelekea wakongo
Hii peleka kwa archives broh. I have been seeing this picture since 2017😂😂😂Very clean unlike nchi mojawapo sijataja nchi lakini View attachment 1933533
Wewe ndio unitajie huyo muhindi unaemnadi!Umeshindwa kutaja jina la mwenye Dar Lux?🤣🤣😂😂
Hamna chelezo ya kujenga meli kubwa ziwa Victoria mbali na iliopo Mwanza na hakuna meli kubwa Victoria zaidi ya inayojengwa kwenye hiyo chelezoConstruction of the largest ship in lake Victoria. MV Uhuru II.
View attachment 1933540
View attachment 1933541
View attachment 1933542
View attachment 1933543
View attachment 1933544
View attachment 1933545
View attachment 1933546
View attachment 1933547
View attachment 1933548
View attachment 1933550
The day Tanzania will have or construct a ship measuring 100m njoo tuongee, right now mnacheza kwa group ya watoto. Hata Uganda iko na meli kubwa kuliko what you have 😂😂😂Hamna chelezo ya kujenga meli kubwa ziwa Victoria mbali na iliopo Mwanza na hakuna meli kubwa Victoria zaidi ya inayojengwa kwenye hiyo chelezo