Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Nkm ratiba zote unapanga wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe Wakenya tumewaacha sana kimaendeleo, mtu anashangaa bus kutoka Dar kwenda Moro zen linageuza linarudi Dar, smh..
Weka ushahidi wacha maneno ya kanga hapa.Nkm ratiba zote unapanga wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Likipiga hvo siku ingine linapewa route ya mbali
Safari za masaa matano hta somalia kuna kampuni zinafanya...[emoji23][emoji23][emoji23] Aah kmmk kamwe, yani kwamba unabishia hata usivyovijua duh, mbona mnaamini kwenye uongo uongo, Tz route ndogo ndogo hivyo za mabasi ni nyingi mno, gari zinazotoka Dar-Moro ni gari mingi mno na haziunganishi route yoyote, juzi nikitoka DSM kwenda Moro na gari inayotoka DSM saa nane (google the distance).. nakupa na hii kuna kampun za mabasi zaidi ya kumi na tano zinazosafiri Tanga-DSM na ni safari ya masaa matano tu..
Isn't MV Uhuru 1 a 300ft (91m) long??[emoji848]Hiyo boat umepost ni ndogo Sana, MV Uhuru II -100m
MV Uhuru I - 94m.
Kampuni zote za mabasi zinaunganisha route kinachobakia ni ubabaishaji tu..Tembea uone acha kujificha kibera
Anadhani Tanzania ni Kenya failed state ambayo basi zinajiamulia kubadilisha ruti ovyo ovyo watakavyo bila ratiba maalum.Weka ushahidi wacha maneno ya kanga hapa.
Don't forget, it's 1,180 tonne vessel, yn inaingia zaidi ya mara mbili kwa Mv Victoria[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Isn't MV Uhuru 1 a 300ft (91m) long??[emoji848]
Aiseee una uhakika na unachoandika hapa?Kampuni zote za mabasi zinaunganisha route kinachobakia ni ubabaishaji tu..
Gari linalopiga dar moro unaweza likuta siku nyingine linapiga kwngine..
Zile sticker tu mzee
But every other outlets says MV Uhuru to be 300ft (91m).MV Uhuru I is longer than any ship in Tanzania [emoji23][emoji23]
Uhakika autoe wapi?
Nishampa dozi kakimbia, ameenda kutafuta vyanzo ili ajiliwaze lkn nahisi ameshaujua ukweli mana serikali yao huwa inawaongopea kwenye kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]But every other outlets says MV Uhuru to be 300ft (91m).
Narudia tena, mabasi yote ya route fupi fupi yanaunganisha route zingine..Weka ushahidi wacha maneno ya kanga hapa.
Kwn kampuni haijulikani km inapiga route nyingi tofauti tofauti, nikiamu kupumzisha gari kw ruti fupi mamlaka wataumwa sio..Anadhani Tanzania ni Kenya failed state ambayo basi zinajiamulia kubadilisha ruti ovyo ovyo watakavyo bila ratiba maalum.
We unafikiria dar lux akiingiza mzigo mpya ataupeleka kw route ya kigoma[emoji1787][emoji1787]