Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakairo ni Lake Zone Mogul

Industries
Mining
Construction
Hospitality and Leisure
Transportation
Warehousing
Real Estate


Lakini hayupo kwenye ranks zozote ila Moi, Biwott na jangili nginaa wamejaa tele for nothing sensible 😅😅😅

View attachment 1933628View attachment 1933629View attachment 1933630View attachment 1933631
Ati Golden Fry? Please tafuta watu was kudanganya😂😂😂. Golden Fry is manufactured by Uniliver😂😂😂
 
Ebu taja hizo real estates zenye ako nazo.😂😂😂
Naona unaanza kuchachawa 😅😅😅

Lakairo ni levels tofauti, Huwezi fananisha na hao clowns wenu kama jangili ngina 😂😂😂
 
Naona unaanza kuchachawa 😅😅😅

Lakairo ni levels tofauti, Huwezi fananisha na hao clowns wenu kama jangili ngina 😂😂😂
Taja estates zake, mbona unalia Sasa😂😂
 
Nimeona Mkenya anasema Kenya inajenga Meli kubwa kupita zote Ziwa Victoria... Aisee huyu akapimwe mkojo Meli za Kenya ni sawa na mitumbwi kwa Meli za Tanzania.

Tanzania ina Meli zaidi ya 20 operational na Bado inajengwa Ziwa Victoria ambapo Kenya ndio Kwanza Meli wanayaaminia ni sawa na mfu...


Tanzania ina Chelezo kubwa Kuliko zote Africa inafanywa kazi Sasa sijui Wakenya meli zao wanabeba na mkono

Screenshot_20210911-190553.jpg
Screenshot_20210911-190634.jpg
 
The day Tanzania will have or construct a ship measuring 100m njoo tuongee, right now mnacheza kwa group ya watoto. Hata Uganda iko na meli kubwa kuliko what you have [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka tunapoongea sahivi hakuna meli kubwa Lake Victoria zaidi ya New Mv Victoria, na hyo rekodi itavunjwa na Mv Mwanza, meli kubwa zaidi lake Victoria.

Btw wewe ni mpumbavu mmoja uliyekata tamaa kabisa, huwa unaleta masihara kwenye vitu serious.
 
Back
Top Bottom