The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hehehehee yn wewe ndio unamwambia Chamoto arudi shule, Wakenya bhnNo need. Hamna haja nipigie mbuzi guitar. Rudi shule kwanza.![]()








Hehehehee yn wewe ndio unamwambia Chamoto arudi shule, Wakenya bhnNo need. Hamna haja nipigie mbuzi guitar. Rudi shule kwanza.![]()








A big beautiful mosque!! 😳 watu wa swali sasa.😂😂Wakati kuna nchi bado inahangaika na choo cha mkoloni, Tz imejenga Ikulu nyingine kubwa kuliko ya mkoloni tena kwa fedha za ndani na mafundi wakiwa watanzania wenyeweView attachment 1893697View attachment 1893698View attachment 1893699
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ikilu eti? Dunia simama nishuke😂😂😂Wakati kuna nchi bado inahangaika na choo cha mkoloni, Tz imejenga Ikulu nyingine kubwa kuliko ya mkoloni tena kwa fedha za ndani na mafundi wakiwa watanzania wenyeweView attachment 1893697View attachment 1893698View attachment 1893699
Yaani county govt of Machakos white house ifananishwe na mazibao.., an altar!!!Ofisi ya mtu leo inafananishwa na ikulu kubwa duniani, tutaona mengi cz hawa ndio wakunya a.k.a wazee wa wivu na sononaView attachment 1893716View attachment 1893717
Hapo sio Kijitonyama wewe
wao wamegeuza iwe ikulu, kumbe ilikua ni msikiti!King wa morroco alipofika dar, walimuomba wajengewee msikiti mkubwa sana😂😂😂😂
wacha wivu nyoko wewe endelea kujaribu kujifananisha na Marekani ati white house! Hamna siku mtakuwa na facility kama hii 👇 👇Yaani county govt of Machakos white house ifananishwe na mazibao.., an altar!!!
View attachment 1894168
A street in Kabul Afghanistan, middle East..,
View attachment 1894169
Hakuna wivu hapa nashangaa tu, upuzi gani huu mmefanya nyie vilaza?.., eti ikulu!!! Tanzania ni taifa la dini ya kiislamu?.., sina ubaya na dini, lakini hiyo ndio picha.wacha wivu nyoko wewe endelea kujaribu kujifananisha na Marekani ati white house!
what’s the plan?
View attachment 1890006


Wivu mwingine wa kike sana, yani mpk wewe unaonea wivu Ikulu? Kisa nyie mmeshindwa kujenga nyumba ya Rais zaidi ya miaka 60 sasa, what a shame.Hakuna wivu hapa nashangaa tu, upuzi gani huu mmefanya nyie vilaza?.., eti ikulu!!! Tanzania ni taifa la dini ya kiislamu?.., sina ubaya na dini, lakini hiyo ndio picha.





Kenya hamna inachouza zaidi ya maua tu, avocado na vitu vingine vyote vinatoka Tz wao ni mawakala tu ambapo uwakala wao tushaufutalini watanunua kutoka kenya






Wakenya Kijitonyama, Victoria na makumbusho zinawachanganya mpk rahaHapo sio Kijitonyama wewe








That is a trumpet interchange under construction..Tuonyeshe hio yenu yenye iko kibaha...Weka picha tufunge mjadalaVitu vya kawaida sana hasa kwa wale wanaopita barabara ya kibaha high way...
it is somewhat ugly.., nasubiri trains nizione.., also station ya Dar is unproportional ukilinganisha na size ya Dar population..,what’s your point about Tanzania station?
A religious monument.., nothing more 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 dini sio uhuru, ni utumwa pia 😂 😂Wivu mwingine wa kike sana, yani mpk wewe unaonea wivu Ikulu? Kisa nyie mmeshindwa kujenga nyumba ya Rais zaidi ya miaka 60 sasa, what a shame.
Ona hii inaitwa Ikulu to infinity yani likubwa kweli kweli, na hii ndiyo maana ya kuwa huru, vitu vidogo lkn vinaleta maana kubwa kwa taifa huru, Ikulu to infinity ni likubwa kweli kweli hata mwisho sioniView attachment 1894238
The better.., itatengeneza sura ya pale.BRT Phase two inapita hapo kuungana na Morogoro Road.
Nadhani Soon hapo patakua safi sana na lile eneo maana TRC washamaliza kazi yao, iliyobaki ni BRT phase two kuanza kazi hapo. Lile eneo wakulungwa wanasema halina lami litawashangaza muda si mrefu. Ntawakumbusha mimi mwenyewe na picha kali za pavements na BR lanes
View attachment 1894237
View attachment 1894235
BRT Phase two inapita hapo kuungana na Morogoro Road.
Nadhani Soon hapo patakua safi sana na lile eneo maana TRC washamaliza kazi yao, iliyobaki ni BRT phase two kuanza kazi hapo. Lile eneo wakulungwa wanasema halina lami litawashangaza muda si mrefu. Ntawakumbusha mimi mwenyewe na picha kali za pavements na BR lanes
View attachment 1894237
View attachment 1894235