The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Bomu lingine lilipigwa hapa 














kila kona watu wamechapwa na life,,


Sitaki maneno ya kanga mm ndio maana si quote mtu, wewe weka niweke, maneno maneno pelekea nyanyaako, hakuna kukotiana hapa wewe weka vitu on groundhapa ni eighleigh boss,.. hapa tu ni mahali kuna refuse collection skip/recepticle. sio sehemu yote. eastleigh is one of nbi BDs just like westlands or upperhill







Dont correct the enemy when hes making mistake, rule no. 1hapa ni eighleigh boss,.. hili sehemu ni mahali kuna refuse collection skip/recepticle. sio sehemu yote. eastleigh is one of nbi BDs just like westlands or upperhill













🤣 Kumbe mikopo ya kufight covid-19 nayo ni biashara?Mna akili za kijinga nyie,wakupe Ili wavumbue nini? Ukiwa LDC unaamuliwa na hao IMF/wb cha kufanya na aina ya mikopo ya kuchukua.Lakini pia unakuwa na windows nyingi tuu za favour.
Ukishahama hiyo stage uko free sasa favour zote hakuna na mikopo ukitaka ni ya kibiashara la sivyo utafute bilateral na nchi na nchi .Huwezi kukopa kamua watu wako kama unaweza.




























😀 Bongo kuna wasanii wengi + competition ya Diamond na AliKiba baadhi ya mashabiki kujiepusha kumuongezea views rivalSi mlisema mna watumizi wa internet wengi kuliko Kenya juu Diamond ako na views nyingi, sasa mbona Diamond mwenyewe naona views zake most ni za Kenya. 🤣 🤣 🤣








