Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afrika asili yetu ni nyumba za tembe kama kweli unapenda ku enzi ubunifu wa kiafrika jenga Ikulu ya tembe basi usilete unafki wa kijinga hapa, eti ubunifu Africa kuna ubunifu gani pumbavu, wacheni ujinga mdogo mdogo, kama ulichukia Ikulu kujengwa kama ya Magogoni ni wewe na familia yako lkn usisingizie Watz.
Hizo tembe zinaweza jengwa vizuri tuu kwa materials imara na zikapendeza vile vile
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1629056423705.jpg
image_downloader_1629056417213.jpg
image_downloader_1629056407293.jpg
 
Uchafu wote duniani huwa unatupwa Kenya kwa wazembe na wapuuzi wasiojua maana ya usafi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1893789View attachment 1893795View attachment 1893800
mbona umepita hapa polepole😂😂😂👆🏽👆🏽👆🏽
 
Msaada wa majanga kwa hali gani Tete ambayo nchi za Afrika zilifikia kutokana na covid 19?

Justify statement yako ya Kenya kupewa misaada kuliko Uganda?
Mimi muda wote natambaa na dhana yako kuwa ldc wanapata faida ya misaada huku midokantrii wakiwe faida ya kukopa zaidi. Ndio nkapambanisha midle kantrii (Kenya) vs ldc(Uganda) ambapo kenya anapewa misaada kuliko uganada tena misaada mingine ni chakula kutoka nchi zilizopo jangwani
 
Hizo tembe zinaweza jengwa vizuri tuu kwa materials imara na zikapendeza vile vile
Hakuna sehemu nimekukot mm wewe unanikot kwa misingi ipi, wewe wajibu hao hao wacha kabisa kuhusu hii Id itakucharua kabisa, fanya mambo yako sina muda ku argue na mtu anayeendekeza double standard mm.
 
Kenyans worship their hubby through chinese statue at Mombasa terminus [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

My take: Haya majitu majinga sn [emoji3][emoji3]
image_downloader_1629057295726.jpg
image_downloader_1629057244468.jpg
 
Many of tanzanians think they are arabs. Mfano angalia bongo movies ama nyimbo utaona kila harusi ikona arab theme.
One day utaskia Tanzania,terrorists flani wakiwika kwenye streets"Sheria law!Sheria law" wacha Waendelee na huo Upuzi wa kujifanya Waarabu⚰️🔥🔥😂😂😂
 
Hakuna sehemu nimekukot mm wewe unanikot kwa misingi ipi, wewe wajibu hao hao wacha kabisa kuhusu hii Id itakucharua kabisa, fanya mambo yako sina muda ku argue na mtu anayeendekeza double standard mm.
Toka umeanza kuicharura umeona mabadiliko since the demise of your husband mwendazake? Acha upumbavu wewe kilaza
 
Kuna mbwa Ikulu zimemuumiza kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Toka umeanza kuicharura umeona mabadiliko since the demise of your husband mwendazake? Acha upumbavu wewe kilaza
Nakupa warning usirudie kunikot, tafadhali sn kwasababu mm nakuona wewe kama zuzu hueleweki kama popo mara una mabawa wakati huohuo una manyonyo.
 
Mimi muda wote natambaa na dhana yako kuwa ldc wanapata faida ya misaada huku midokantrii wakiwe faida ya kukopa zaidi. Ndio nkapambanisha midle kantrii (Kenya) vs ldc(Uganda) ambapo kenya anapewa misaada kuliko uganada tena misaada mingine ni chakula kutoka nchi zilizopo jangwani
Nataka hiyo misaada ya Kenya,weka ushahidi nikuchambulie.

Pili ni kweli LDC ana fursa ya misaada yenye masharti nafuu zaidi na kubebwa ila tuu anakuwa anaamliwa cha kufanya au kushauriwa na waliokupa hiyo misaada tofauti na asiye LDC.
 
Back
Top Bottom