Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Perspective😍😍🤗
Pitia comments zangu utajua tatizo
😂😂😂😂👏🔥🔥Museveni yuapiga zoezi kwa raha zake, kidogo mzee wa kucopy nae akamjibu. Kilichofata futi sita😂😂😂😂View attachment 1893910View attachment 1893911
ikulu ama maasjidWakati kuna nchi bado inahangaika na choo cha mkoloni, Tz imejenga Ikulu nyingine kubwa kuliko ya mkoloni tena kwa fedha za ndani na mafundi wakiwa watanzania wenyeweView attachment 1893697View attachment 1893698View attachment 1893699
but the fact still remain tz is a least-developed-country whereas kenya is an emerging/frontier market.... kwa ground vitu ni different😆
alooo.. nairobi statehouse is just but a replica of washington DC whitehouse.. ie. they were both built based on the same concept to serve the same purpose. achana na hiyo yenyu concept yake ni musikiti na ina serve a very different purpose. what a confusing building
Hata kama hujawahienda London usiniambie hata kwenye picha hujaona majengo yaliyo na style hii. So waliwaiga waarabu sio. Pia hata kamakajenga mwarabu au mzungu kacopy haijalishi na hata kama inaonekana kama msikiti au kanisa of which Posta kuna makanisa mawili yaliyojengwa kwa hiyo style pia sisi kwetu sio ishuBetween arab and british who arrived first, the britons were copying what was there.
Bado utawasikia watu eti waliopewa viwanda vilivyokufa wavifufue,unaweza fufua outdated technology? Huo huwa ni upumbavu,waambieni wakichukua hizo plot wajenge viwanda vipya.
Mwendazake aliwahi mshambulia mbuge abood wa Moro eti kageuza viwanda alivyopewa magofu,hii unaweza fufua mitambo inayotumia tech ya 1960s ?
Sgr kupeleka mwanza ni sawa nakumpelekea mganda asali mlangoniSasa SGR ya Tanga Musoma ingecost zaidi...we can actually kill 3 birds with one stone
am only suprized tht the biggest dinomination in tz (Tshs10,000) is only equivalent to Kshs400!!![]()
aki watz mnashida.. View attachment 1893935View attachment 1893934
Ndio maana alibadili matumizi kulingana na alichoona kinafaa, ukisema mitambo ya kisiasa sijui nini mazingira wezeshi kuanzia kodi nk hayakuwa rafiki.Kwaiyo kama kipo outdated aendelee kukaa nacho tu, kwanini asifunge mitambo ya kisasa uzalishaji uendelee?
Tuna ikulu, mbona tujenge nyingine Na tunazo kwa miji yote mikubwa and they're serving the purpose? Huu ujinga wa kujenga kujionyesha hatuna. Alafu hatukai ikulu. Hivi wewe unakaa ikulu? Jielewe mpumbavu wee.Wapi Ikulu yenu mliyojenga kwa mikono na pesa yenyu? We Mkunya mpumbavu! Miaka 60 ya Uhuru hajaweza kujenga hata ofisi ya Rais! Mnakaa nyumba ya iliyojengwa na Mkoloni! Unabaki unashindana na nchi ya watu wanaojielewa!?
Putting everything equal, the cost of internet service is inversely proportional to number of users (penetration).
Alisisitiza hivo alafu akacopy paste ile ile ya mkoloni? 🤣🤣🤣 Bongolala kama bongolala🚮🚮Ndio tumeanza sisi ukanda huu na pengine nchi chache za Afrika zilizojenga Ikulu zao, hyo architecture iliyofanyika hapo ndani iko tofauti kabisa na ile ya Dar na ndicho alichokuwa akisisitiza Rais kwamba chumba cha kulala na mkeo huwezi kuruhusu mtu ajenge anavyojua yeye lazima utajenga kwa specs zako, sasa kazi kwenu na choo chenu, sisi tushaonesha mfano EA![]()
Huwa muda mwingine ananitia shaka sn nikihoji chuki yake dhidi ya magu mana anapinga kila kitu mpk vingine ni aibu, utakuta anakwambia nchi lazima ikope, hapo anampinga Magu ambaye alikuwa hakopi hovyo hovyo, au atakwambia mtu anajenga mamiradi tu mara ma interchange, mara ma barabara wakati pesa ilitakiwa iingizwe kwenye mzunguko, ila wakati huohuo atasifia Ghana kujenga interchange ya gharama kubwa.Achana nae yule anachuki binafsi na mwendazake yani jitu linaongea kabisa eti nchi haiwezi kundelea bila kukopa wakati anajua kabisa asilimia kubwa ya miradi yetu tunajitegemea
Kwahiyo wewe masjid huitaki unataka kanisa au sio, huu usenge wenu ndio unaowaponza, udini na ukabila utawamaliza mbwa nyinyi.ikulu ama maasjid
Leta hoja achana na viroja choko-raa wewe.Look at this fool.🤣🤣🤣 Bongolala kweli hamuwezi saidika🚮🚮
Kwahiyo unajisifia kuiga au sio, haya hebu weka hiyo picha ya state house ya washington na choo chenu, mbn unaweka picha nusu nusu? Weka yotealooo.. nairobi statehouse is just but a replica of washington DC whitehouse..
nbi statehse View attachment 1893926
DC whitehse View attachment 1893927





