Uwe unaelewa,kila nchi imeathirika kiuchumi kwa covid and so kuna firisha la mkopo wa dharura lakini lazima nchi inayotaka I justify hizo athari ikiwa ni pamoja na kuonesha ukubwa wa ugonjwa kwa kutoa Takwimu za vifo na maambukizi.
La sivyo hakuna pesa ya bure hapo na ni mkopo wa masharti nafuu sasa Nchi gani ikatae pesa laini tena nyingi na zina mda mrefu wa kulipa? Kwa hiyo ni biashara ndio.
Unadhani Uganda hadi wanafukia majeneza matupu Ili wa meet creteria ni wajinga? Dola mil.500 sio pesa ndogo na unailipa ndani ya miaka 25 huku ukipewa grace period ya miaka 3-5