Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it’s houses for me built over there
Kama mbele aisee, ila Tz mwaka huu baridi imekaa mda kweli, hata Dar kama Dar hii hali tunayo mda sasa, upepo mkali baridi mtindo mmoja, aaahh hatujazoea bhn hali hii.
 
Kijitonyama my foot😂😂😂
IMG_20210815_195036_351.jpg
 
Noma sana. Capitalists, Educated, Aggressive, Rich, Wealthier. Mbona hamna hata chembe ya conection

Watu gani matajiri wachafu
Watu gani wameelimika hata wanashindwa kuzoa
Capitalist gani hata fursa ya kuzoa taka na kuoiga hela haoni, kurecycle hiyo miuchafu ni hela tupu.
Agressive kwenye nini ambacho wameoiga hatua kuliko wote hapa Africa mbona kila eneo tunaoumuliana visogo
Rich?
Mhhh, Noma sana.
 
If this is how you reason then your brain is not properly settled in your big head skull. How can you really compare internet usage/penetration between Kenya and Tanzania by Dimond's fans Youtube views? You must be from the most interior of Turkana where they read Sunday newspapers on Friday!
Shida ya wabongo ni kiingereza. Please, soma post yangu uielewa ama uniambie nikutafsirie kwa Kiswahili. Ni wabongo wenzako waliosema Tanzania ina more penetration juu ya views za Diamond. Na naona mibaba mizima kama akina Bantugbro ikilike huo upuzi wako. SMH
 
Back
Top Bottom