Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Black supremacy😍😍😍🤗
2855094_1627108623758.png
 
You will remember this day,I tell you ipo Siku Bibi yako na Watoto wenyu waschana hawataruhusiwa kufanya Kazi,kuuza korosho,kutumia pesa Mingi kwa harusi,Kuendesha Gari,kukosa kujifunika kichwa,na kutoka inje ya mlango bila mlizi mwanaume(Lazima azindikishwe na bwana au Mtoto Kijana au brazako au Babako🚮⚰️🔥🔥Kwisha Nyinyi,"Sheria law!Sheria law"😂😂😂Mumeanza na ikulumosque🙈Nyinyi sio Waarabu badilisheni kujifanya hivo
 
Ungekua na akili ningekueleza mbunifu yeyote anaweza buni jengo la style yoyote and this English architect just replicated Omani Arab architecture. Unfortunately you are stupid. Anyway, 100 years later hamna mbunifu wa kununi jengo style yenu. Malofa. 🤣 🤣
Thats what am telling another one, the britons were copying what was there. How comes they didnot build a mosque in nairobi😂😂😂
 
You will remember this day,I tell you ipo Siku Bibi yako na Watoto wenyu waschana hawataruhusiwa kufanya Kazi,kuuza korosho,kutumia pesa Mingi kwa harusi,Kuendesha Gari,kukosa kujifunika kichwa,na kutoka inje ya mlango bila mlizi mwanaume(Lazima azindikishwe na bwana au Mtoto Kijana au brazako au BabakoKwisha Nyinyi,"Sheria law!Sheria law"Mumeanza na ikulumosqueNyinyi sio Waarabu badilisheni kujifanya hivo
Wewe ndio yupi hapa
JamiiForums1032679072.jpg
 
swali lako jepesi na lakimaandazi linajibiwa kama ifuatavyo

chukua msanii wenu yeyote halafu compare idadi ya viewers wa Tz kwa msanii wa kenya kisha viewers wa kenya kwa wasanii wa kenya halafu chukua idadi ya viewer wa tz na kenya waliomtizama diamond
baada ya hapo kulingana na jinsi unavyopima idadi ya internet users kupitia kipimo chako cha kukaangia chapati bila shaka utapata jibu

Agiza soda soda ya baridi broo nitalipia
 
Kweli Mwarabu amewashika makende. Hadi State House yenu ya kujijengea wenyewe mnacopy ile ile architecture ya Mwarabu aliyojenga state house ya Dar nayo. Sitashangaa kama ni donations za Mwarabu akawalazimisha muijenge hivo. Inakaa Mosque. 🤣 🤣 🤣
Kwisha wao de next Afghanistan,Somalia and Nigeria combined⚰️😲
 
Ungekua na akili ningekueleza mbunifu yeyote anaweza buni jengo la style yoyote and this English architect just replicated Omani Arab architecture. Unfortunately you are stupid. Anyway, 100 years later hamna mbunifu wa kununi jengo style yenu. Malofa. 🤣 🤣
Wapi Ikulu yenu mliyojenga kwa mikono na pesa yenyu? We Mkunya mpumbavu! Miaka 60 ya Uhuru hajaweza kujenga hata ofisi ya Rais! Mnakaa nyumba ya iliyojengwa na Mkoloni! Unabaki unashindana na nchi ya watu wanaojielewa!?
 
Ndio maana Kenya haiishi mabalaa mara locust, mara maghorofa yanaanguka, mara ushoga umeongezeka, mara ukabila, mara njaa, mara midege inaanguka, mara kdf wamebakwa malaba, hii yote ni kwasababu ya ikulu chafu, yani uchafu unaanzia Ikulu just imagine
Screenshot_20210815-234826.jpg
 
Back
Top Bottom