Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndani ya ikulu to infinity, hapa kunguni hukosi😂😂😂
images (12).jpeg
 
Issue ni architecture ya ikulu ,usitafute sympathy hapa. Africans tuanze kujiamini na vitu vidogo kama ikulu.
Ndio tumeanza sisi ukanda huu na pengine nchi chache za Afrika zilizojenga Ikulu zao, hyo architecture iliyofanyika hapo ndani iko tofauti kabisa na ile ya Dar na ndicho alichokuwa akisisitiza Rais kwamba chumba cha kulala na mkeo huwezi kuruhusu mtu ajenge anavyojua yeye lazima utajenga kwa specs zako, sasa kazi kwenu na choo chenu, sisi tushaonesha mfano EA
 
Hiki kinaitwa chuma kama chuma, impact zake zimeanza kuonekana sahivi kama mnavyoona tunapokea mameli makubwa, nchi tunazozilisha now zina import zaidi kuliko sisi ku import vitu vyao, call him chuma kama chuma R.I.P big dady.
JamiiForums-968818996.jpg
 
Good night to all patriots Tanzanians a.k.a wise people ever seen on Earth and all monkeys from North a.k.a jalala land
image_downloader_1629056453697.jpg
image_downloader_1629056449541.jpg
image_downloader_1629056434767.jpg
image_downloader_1629056407293.jpg
 
Tena iliyopitiliza, lkn anaumbuka akiona miradi yote ya chuma kama chuma inaendelezwa na inapewa kipa umbele na ndiyo mama anatamba nayo kwa ss.

Achana nae yule anachuki binafsi na mwendazake yani jitu linaongea kabisa eti nchi haiwezi kundelea bila kukopa wakati anajua kabisa asilimia kubwa ya miradi yetu tunajitegemea
 
Back
Top Bottom