Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ghana and Kenya are birds of the same feathers! Jamaa wana mafuta ila vitu wanavyofanya huwezi amini!
Vitu gani? Wanapata fedha kiasi gani kwenye mafuta? Umeona miundombinu wanayojenga kuanzia barabara na reli zao? Wanachofanya kinaendana na hadhi za nchi zao.

Kwa taarifa yako mikopo haikwepeki na ndiko Tzn inaelekea.Nchi zote zenye madeni kiduchu ni LDC au ndio zime graduate soon ,nakupa 5 years uje hapa tuone kama Tzn tutabakia kwenye 40%
 
nice documents
vitu gani (projects) vinaweza kuombewa mikopo na inaweza kusaidia kulipa deni kwa mda mfupi? like umeme..distribution and generation? gas?
Hiyo ni Kazi ya Wizara zinazohusika na ku assess miradi ya kutafutiza pesa.Kwa stage nchi ilipofikia kukopea miradi ya kisiasa kama kupeleka sgr Mwanza ambako hakuna mzigo wa kuja kurejesha pesa kwa mda itakuja kuicost nchi pakubwa.

Ukishatolewa LDC na ukakopa usijue pa kuweka pesa utaisoma namba na no way lazima ukope Ili ifike kwa haraka.Nchi kama Tzn 3/4 ya barabara ni mavumbi bado kukopa hakukwepeki. Sasa kopa afu fanya miradi ya kisiasa ndio utaona shughuli kwenye kulipa.Saizi si watu wanalia Lia tozo,bado kodi nyingi zaidi zinakuja.

Bila kuifungua nchi hupati investors uchumi utadorora kwa hiyo umaskini mkubwa unatakiwa,ndio maana serikali inahaha kupata mkopo wa covid bahati nzuri ni mkopo wa emergency rescue ya uchumi una masharti nafuu Sana na mda mrefu wa kulipa mrefu, serikali ikipata itakuwa imepata pesa nyingi za bure
 

Bado utawasikia watu eti waliopewa viwanda vilivyokufa wavifufue,unaweza fufua outdated technology? Huo huwa ni upumbavu,waambieni wakichukua hizo plot wajenge viwanda vipya.

Mwendazake aliwahi mshambulia mbuge abood wa Moro eti kageuza viwanda alivyopewa magofu,hii unaweza fufua mitambo inayotumia tech ya 1960s ?
 
Hiyo ni Kazi ya Wizara zinazohusika na ku assess miradi ya kutafutiza pesa.Kwa stage nchi ilipofikia kukopea miradi ya kisiasa kama kupeleka sgr Mwanza ambako hakuna mzigo wa kuja kurejesha pesa kwa mda itakuja kuicost nchi pakubwa.

Ukishatolewa LDC na ukakopa usijue pa kuweka pesa utaisoma namba na no way lazima ukope Ili ifike kwa haraka.Nchi kama Tzn 3/4 ya barabara ni mavumbi bado kukopa hakukwepeki. Sasa kopa afu fanya miradi ya kisiasa ndio utaona shughuli kwenye kulipa.Saizi si watu wanalia Lia tozo,bado kodi nyingi zaidi zinakuja.

Bila kuifungua nchi hupati investors uchumi utadorora kwa hiyo umaskini mkubwa unatakiwa,ndio maana serikali inahaha kupata mkopo wa covid bahati nzuri ni mkopo wa emergency rescue ya uchumi una masharti nafuu Sana na mda mrefu wa kulipa mrefu, serikali ikipata itakuwa imepata pesa nyingi za bure
Unatumia sana assumptions, kwani walio graduate wote wana madeni ya kijinga hivyo ? Uchumi sio blabla hivyo...angalia miradi tulio ifanya, mm na amini italeta positive result zaidi na kusaidia kuiokoa nchi yetu kuingia kwenye mzigo wa madeni..
Izi nchi za Afrika zi atakiwa ziacha mchezo wa kujitengenezea pesa on the expenses ya infrustructure, kuna uwezekano mkubwa nchi ikasonga mbele pia ikamanage debt yake
 




TZ EYES SUGAR SELF-SUFFICIENCY​


Tz eyes sugar self-sufficiency

SHORTAGE of sugar in Tanzania will soon be a history as the country looks to have seven factories producing the sweetener.

This was revealed by Prime Minister, Mr Kassim Majaliwa during his tour of Mkulazi Sugarcane plantation and the Mbigiri sugar factory project in Morogoro Region yesterday, where he also instructed for immediate intervention from the relevant government ministries and institutions for the equipment to be released for the factory's construction to kick off.

He made the directives after being briefed on progress of the factory where the management asked for intervention on some of the equipment that are said to be stuck at the Dar es Salaam Port.

The instructions would be jointly implemented by the Minister of State in Prime Minister’s Office Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled Jenista Mhagama, Permanent Secretary Tixon Nzunda as well as the Minister for Finance and Planning Dr Mwigulu Nchemba.

“We want the construction of this factory to start as soon as possible, there is no need to delay the project, the 21 containers that are stuck at the port should be released,” he instructed.

According to the Premier, the country is currently importing 70,000 tonnes of sugar annually, but with the ongoing industrialisation drive; the country will have seven sugar factories whose production is going to meet domestic demand.

“Here the country will reduce importing sugar,” said the Prime Minister. He went on to commend the board of directors, management and staff of Mkulazi sugar caneplantation and the Migiri sugar factory for proper supervision of the project that has recorded great achievements.

“I was here in 2018, I remember the situation wasn’t the same as I’m seeing today, a lot of efforts have been taken to manage this, I’m so impressed with the transformation that has seen the increase of sugarcanes in the plantations,” he extolled.

“As the construction of the sugar factory is at the foundation stage, I’m encouraging residents surrounding the project areas to venture in sugarcane farming since the demand will be high during operation of the plant," he added.

The Premier also instructed leaders in Kilosa District to support farmers who want to venture in sugarcane plantations by providing them with enough plot according to their needs.

According to Mr Majaliwa, President Samia is determined to improve the economy at national and individual level and the government initiatives should be supported by Tanzanians by making better use of the available opportunities including agriculture.

Present in the tour, the Minister for Energy Dr Medard Kalemani issued a seven day ultimatum for the Kilosa District manager for Tanzania Electricity Company Limited (Tanesco) to connect electricity to farmers who are using generators in their activities.

For his part, the manager for Mkulazi sugarcane plantation Eng Flavian Regonard said they have started harvesting sugarcane in their plantation and the produce is being sold at the Mtibwa sugar factory in Mvomero District.

“This is because our factory is not ready. So far, the sugarcane has been planted in a total of 2,705 hectors and in this year we are planning to add some more 800 hectors,” he said.

In Tanzania, sugar production is concentrated mainly in three regions which are Morogoro, Kagera, and Kilimanjaro.

At present, there are four large sugar estates in Tanzania; a list has the Kilombero Sugar Company, Tanganyika Planting Company, Kagera Sugar and Mtibwa Sugar Estates.


 
kwan mwanza haipo tanzania .. anyway ni mojawapo ya mikakat ya kuifanya mwanza kuwa kitovu cha biashara kwenye ziwa victoria.. na kuteka soko la jiran hapo
Maza hataki mchezo,ni mwendo wa connectivity tuu by roads,soma hiyooo 👇

Screenshot_20210815-183735.png


Screenshot_20210815-183423.png


Screenshot_20210815-183243.png


Screenshot_20210815-183345.png


Screenshot_20210815-183151.png


Screenshot_20210815-183220.png


Screenshot_20210815-183111.png
 
Bado utawasikia watu eti waliopewa viwanda vilivyokufa wavifufue,unaweza fufua outdated technology? Huo huwa ni upumbavu,waambieni wakichukua hizo plot wajenge viwanda vipya.

Mwendazake aliwahi mshambulia mbuge abood wa Moro eti kageuza viwanda alivyopewa magofu,hii unaweza fufua mitambo inayotumia tech ya 1960s ?
Sasa kama walijua hivyo viwanda vina outdated technology hao akina Abood na wenzake walichukua hivyo viwanda kwa lengo gani? Issue hapa siyo out dated technology bali hivi viwanda viligawiwa kisiasa (holela) kwa watu wasio na mitaji na uzoefu wa kuendesaha viwanda. Suala la outdated technology ni issue ndogo sana kusolve maana serikali ingeweza kuwawekea investor unafuu kama tax holiday, au punguzo la kodi kwenye mitambo na vifaa Vya viwandan kwa muda fulani (in a win-win situation) kama tu ilivyofanyika kwenye madini japo kwenye madini mikataba ilikuwa mibovu sana (Hakukua na win-win situation). HATA HAYATI MKAPA ALIKIRI KWAMBA KWENYE SUALA LA UBINAFISISHAJI WA MALI ZA UMMA VIKIWEMO VIWANDA SERIKALI YAKE HAIKUFANYA VIZURI.
 
No Kenyan denies that, but your nincompoop bongolalas used Diamond's Youtube views to conclude poor Tanzania has more internet users than Kenya which is laughable. I don't blame them though, they are gifted with stupidity, I saw you agree with another one who thinks a fissure is a result of poor construction. Do you guys really have schools down there? 🤣 🤣 🤣

Anyway, kama most views za Diamond ni za Kenya then it means internet penetration hapo Tanzania iko chini sana. You guys need to pull up your socks.
If this is how you reason then your brain is not properly settled in your big head skull. How can you really compare internet usage/penetration between Kenya and Tanzania by Dimond's fans Youtube views? You must be from the most interior of Turkana where they read Sunday newspapers on Friday!
 
Ladies and gentlenmen one picture is dar another one mogadishu in random order. Who can correctly attach them😂😂😂
IMG_20210815_194031.jpg
IMG_20210815_195036_351.jpg
 
it is on their own risk tumezika Waziri wa Ulinzi juzi na sitashangaa kama PM nae akifuata!
Hehehehee Geza bhn yn unavyoi hype corona utadhani labda ni ugonjwa hatari kiivyo, mm wiki mbili zilizopita nimeumwa hiyo corona imenipiga kimtindo lkn kama kawa mafusho, tangawizi, limao na dawa za kienyeji nadunda saizi niko poa kuliko jana na juzi.
 
Hehehehee Geza bhn yn unavyoi hype corona utadhani labda ni ugonjwa hatari kiivyo, mm wiki mbili zilizopita nimeumwa hiyo corona imenipiga kimtindo lkn kama kawa mafusho, tangawizi, limao na dawa za kienyeji nadunda saizi niko poa kuliko jana na juzi.
Sio kila mtu ambae yupo km wewe, wengine ikiwashika inawapeleka kuzimu..
Tatizo unafuata mkumbo lkn hujali na wengine pia
 
Back
Top Bottom