Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaumiza watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210815-232358.jpg
 
Mbele kdg ya hii Ikulu to infinity kutakuwa kuna ma ring road, ma dual carriageways, ma estates yani Dodoma inakwenda kuwa jiji la mfano Africa few years to come watake wasitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-333728242.jpg
JamiiForums-560244272.jpg
 
In Kenya, we are free to critic government expenditure, sio hapo kwenu ni kushangilia tu hata vitu visivyo vya maana. Sasa wengine humu wameshinda wakishangilia state house mpya kujengwa wakati mna state house already.
Kwahiyo mnatupangia matumizi au sio, ndipo mlipofika hapo sasa hivi kutupangia matumizi ya pesa zetu zisizo za mkopo? Mbn nyinyi hatukuwapangia matumizi ya reli ya mkopo iliyo suswa pale suswa plus old model charcoal trains [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ikulu to infinity inachoma watu juu wao wanachoo cha mkoloni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1893853
Kweli Mwarabu amewashika makende. Hadi State House yenu ya kujijengea wenyewe mnacopy ile ile architecture ya Mwarabu aliyojenga state house ya Dar nayo. Sitashangaa kama ni donations za Mwarabu akawalazimisha muijenge hivo. Inakaa Mosque. 🤣 🤣 🤣
 
No wonder we double tanzania in cars, 3.9m ujichukulie zero mileage suv made in kenya😍😍View attachment 1893438

View attachment 1893437
We kilaza koma kabisa kuja na bla bla zako za idadi ya magari kati ya Kenya na Tanzania, nchi zote zina combination moja 6760000. Ikimaanisha rate ya ongezeko la magari ni sawa.

Combination ya herufi (2) na namba (4) za magari kati ya hizi nchi mbili ni 1*26 26*10 *10*10 *10. BTW nimeweka one combination herufi ya kwanza (country code) kwasababu haibadiliki.
 
Hiyo ni Kazi ya Wizara zinazohusika na ku assess miradi ya kutafutiza pesa.Kwa stage nchi ilipofikia kukopea miradi ya kisiasa kama kupeleka sgr Mwanza ambako hakuna mzigo wa kuja kurejesha pesa kwa mda itakuja kuicost nchi pakubwa.

Ukishatolewa LDC na ukakopa usijue pa kuweka pesa utaisoma namba na no way lazima ukope Ili ifike kwa haraka.Nchi kama Tzn 3/4 ya barabara ni mavumbi bado kukopa hakukwepeki. Sasa kopa afu fanya miradi ya kisiasa ndio utaona shughuli kwenye kulipa.Saizi si watu wanalia Lia tozo,bado kodi nyingi zaidi zinakuja.

Bila kuifungua nchi hupati investors uchumi utadorora kwa hiyo umaskini mkubwa unatakiwa,ndio maana serikali inahaha kupata mkopo wa covid bahati nzuri ni mkopo wa emergency rescue ya uchumi una masharti nafuu Sana na mda mrefu wa kulipa mrefu, serikali ikipata itakuwa imepata pesa nyingi za bure

We jamaa unaongea pumbaa tuu
 
Ikulu to infinity inachoma watu juu wao wanachoo cha mkoloni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1893853
unajua story ya Afghanistan ilianzaga hivohivo ikulumosque polepole,Maombi taifa Uislamu,kidogokidogo kwenye street hapo"Sheria law!Sheria law!"boom boom boom boom🔥🔥Kidogo maombolezi😂😂😂😂😂😂Alkaida
 
Kweli Mwarabu amewashika makende. Hadi State House yenu ya kujijengea wenyewe mnacopy ile ile architecture ya Mwarabu aliyojenga state house ya Dar nayo. Sitashangaa kama ni donations za Mwarabu akawalazimisha muijenge hivo. Inakaa Mosque. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Koma kuropoka vitu usivyovijua [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210815-233405.jpg
 
Huwa nacheka sana nikiyapiga haya majibwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
unajua story ya Afghanistan ilianzaga hivohivo ikulumosque polepole,Maombi taifa Uislamu,kidogokidogo kwenye street hapo"Sheria law!Sheria law!"boom boom boom boom🔥🔥Kidogo maombolezi😂😂😂😂😂😂Alkaida
Hii kitu unavuta buda ni ngori😂😂😂
 
Back
Top Bottom