Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hivi nchi ipo chini ya Wazanzibar hawana uchungu na nchi yetu wataiuza na wajenge kwao Zanzibar.

Ona sasa hivi akina AZAM wanachukua mali Tanganyika na wanajenga kwao Zanzibar.
We jamaa mbona leo unatema pumba hivi, yani miaka yote hyo ilikua huwaoni umeanza kuwaona wakati mama kaamua kuchanja...

Angalau leo umefunguka akili kuona ya kwamba wale machottlhara yenye asili ya kizanzibar na wahindi ndio wanaikwapua tanzania
Pole sana
 
Mzee tunaishi kwa staha tu.
Lakini kuna moto unafukuta chini ukilipuka sijui ni nani wa kuuzima.
 
Serikali inauwezo wa kuboresha sehemu zote za wazi, kukiwa na nia ya dhati. Unataka kuwapa wakina Manji sehemu ya umma, vijana (25 - under) ambao ni zaidi ya nusu ya population wawe wanaenda wapi?
Wengine wanaenda wapi? Unawapa bure au wanakuwa investors. Hao vijana wakienda huko beach wanaleta tija gani?

Private sector wachukue walete pesa hizo hadithi za sijui Nia sijui nini hakuna cha maana kinafanyika.
 
Nimekupuuza. Unaendekeza udini.
mi nimemtaja Gwajima sijataja Ukristo! najua Wewe unataja Uislam shame on you! U r pathetic my friend huwezi shindana na mimi kwenye hili na naujua unachotafuta kunilinganisha na upumbavu uliondika leo wa kukashifu viongozi kuua familia ya Nyerere na pia Magufuli na Mkapa! U r simply too shallow! leta povu, saahii litakuwa la ugoro!
 
Hope finals iwe Kenya vs Tanzania..,

pole kwako na kwa wakenya wote
Final is Tanzania vs Burundi
IMG_0632.jpg

IMG_0633.jpg
 
mi nimemtaja Gwajima sijataja Ukristo! najua Wewe unataja Uislam shame on you! U r pathetic my friend huwezi shindana na mimi kwenye hili na naujua unachotafuta kunilinganisha na upumbavu uliondika leo wa kukashifu viongozi kuua familia ya Nyerere na pia Magufuli na Mkapa! U r simply too shallow! leta povu, saahii litakuwa la ugoro!
Dawa ipo jikoni naichemsha utainywa tu labda ukimbie huu Uzi.
 
Back
Top Bottom