Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
unanitisha sio? Ohk...Mzee mbona unakimbia ukweli. Au unajifariji.
unanitisha sio? Ohk...Mzee mbona unakimbia ukweli. Au unajifariji.
Ile siku mtajenga modern Airpot uje tuongeeSasa mambo mkiambiwa kenya tuliwatangulia katika mambo mengi huaga mnakataa..
Tulijenga kitambo vitu vingi sana, nyie kubalini tu ya kwamba mligutuka sai..alafu ukiangalia vizuri katika hyo picha utakuta kuna space pembeni kwhyo likija swala km kuna ulazima wa kujenga terminal zngine za kinyamwezi zinaingia tu tena vizuri bila shida yyte ile..
Ona hzo space wewe, JKIA ilichorwa na wenye akili zao na ikapangika vizuriwala sio ule upupu wenu wa JNIA hata space haileweki, yani big for nothingView attachment 1869448View attachment 1869450







Jeshi lege lege na wakati wana za kwao haoSerikali legelege huzaa jeshi legelege
MY TAKE
Beautiful though the bridge doesn't look like 1.5 km! I see quality in it. Our northern neighbours can learn a thing!
Kabisa


Wenye akili zao hawa hapa😂😂👇👇Ile siku mtajenga modern Airpot uje tuongee![]()
420meters are u even serious 😂😂😂 unafananisha na 1.5km bridge
Hebu hesabu ya juu na ya chini zina park ndege ngapi vileKuna mmoja kachanganyikiwa tayari baada ya kuona vile airport tofauti tofauti watu wanavyojenga terminals
Yani jamaa kaleta mpka usaidizi kutoka china lkn akaangukia pua, hakuna mpuuzi wa kukubali kujengewa terminal ya ku serve km stesheni ya pugu
View attachment 1869530Code:big for nothing


How far the pic was taken??
What i see ni hapa combination 😂😂😂
Hey ancestor, are you missing me? I can see you are tagging me in every post you make.sasa wakiweka na wewe u go low sio? sasa tofauti ya wewe na Teargas ipo wapi? kwani dar imekosa kujipambanua kiuhalisia? Acha hizo bana! Chanjo kama si wewe mwanafamilia atakuja kuitafuta baba!
Jamani waacheni wajane mnawaumiza kuondokewa na mumeo.Mzee wewe umeaza kumkashifu Magufuli mtu aliyekufa. Hivi unajiona ukosawa. Mpimbavu wewe. Achana na Magufuli wetu.
Mi nasema design sio length,,na pia nashuku hio ya Nigeria imefika hio 1.5km🤔420meters are u even serious 😂😂😂 unafananisha na 1.5km bridge
Hio chanjo unauhakika nayo wewe kama wewe hebu nijibu kitaalamuJamani waacheni wajane mnawaumiza kuondokewa na mumeo.
By the way chanjo imeonesha jinsi nchi hii ilivyo na wapumbavu wengi ukiwemo wewe,ni ngumu kutofautisha mburula na nyie mnaojiita wasomi
design bado ni tofaut pia au pia unabisha 😂😂Mi nasema design sio length,,na pia nashuku hio ya Nigeria imefika hio 1.5km🤔
Unless uwe chizi ndio unaweza kuwa muumini wa yule tapeli ,sijui walisharogwa hao watu,u can't understandhalafu mshikaji anakaa muumini wa Gwajima! Pata picha yule mwenye picha za ngono akila muumini wake! 🤣 🤣 ☝️