President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,074
- 93,481
Kwanini usiende kuchanjwa pekee yako!? Sisi tuache na MATAGA na Sukuma Gang yetu.
Unamtukana Magufuli. Mtu amekufa bado unamsimanga. Vita ni vita mura ndio cheche zimeanza. Hatutaki kutawaliwa na Wazanzibar.
Mmemuua Magufuli halafu mnakuja kutukejeli.