Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
wewe mbaguzi mdini na mkabila kinoma feel ashamed ulichoandika leo! Hii nchi ni yetu sote! Watu wanakusoma humu na kuona how hollow is ur skull!Nimekuacha bado unanitafuta tu. Kwanini usiendelee na issue zako!?
Mkuu, serikali kupitia wizara ya afya ndio wenye jukumu la kuthibitisha na kuruhusu chanjo itumike, tayari serikali imethibitisha hilo na kutoa agizo itumike, yeyote anayepinga lazima awasiliane na serikali kupitia wizara ya Afya, sio kupiga kelele katika mitandao, hilo ni kosa la jinai na unastahili kukamatwa kwa kosa la uchochezi.Mkuu Vaccine kama ya Covid-19 haiwezi kuwa Mandatory, huwezi kwenda jela sababu ulikataa vaccine, outewise that's something against medical ethics.
That Gwajima huwa sikubaliani nae kwa Mengi ila kwa hilo bado anahaki ya kuhoji usalama na ilipaswa ajibiwe tu kitaalamu na wala sio kwa mihemko, (natumaini umesikiliza hiyo clip yake hujaconsume secondary information) , bado more studies are needed to validate the efficacy and Safety.
Wizara ya Afya inashea concent form for it usaini ndio upate jab,
Mimi kwa kazi ninayofanya I may be willing to get vaccinated with mRNA Covid 19 Vaccine but siwezi kumlazimisha mtu mwingine achanjwe chanjo ambayo bado iko kwenye studies.
Nimeshangazwa na kauli zake za kichochezihuyu mshikaji mpuuzi sana angalia upumbavu anaoandika
Angalia hizi chuki kwa serikali na ndugu zetu Waislamu! hizi ni serious accustaions!! halafu ni Mkabila pia !
Mijitu tangu izaliwe inachoma chanjo ila hii inapinga kisa wahubiri flani wanapotosha!Mkuu, serikali kupitia wizara ya afya ndio wenye jukumu la kuthibitisha na kuruhusu chanjo itumike, tayari serikali imethibitisha hilo na kutoa agizo itumike, yeyote anayepinga lazima awasiliane na serikali kupitia wizara ya Afya, sio kupiga kelele katika mitandao, hilo ni kosa la jinai na unastahili kukamatwa kwa kosa la uchochezi.
Kama viongozi wa CHADEMA wamekamatwa kwa kuvunja Sheria ya kukusanyika katika kipindi hiki ambapo mikusanyika isiyo ya lazima imekatazwa, vipi Gwajima anapingana na agizo halali la serikali bila kufuata taratibu anaachwa?.
Mkuu, chanjo yoyote dhidi ya ugonjwa wenye kuambukizwa ni lazima duniani kote, unachanjwa ili kuwakinga watu wengine hata Kama wewe mwenyewe hupendi, chanjo ya cancer ya kizazi ambayo haiambukizi wengine ndio sio lazima.
Mzee wewe umeaza kumkashifu Magufuli mtu aliyekufa. Hivi unajiona ukosawa. Mpimbavu wewe. Achana na Magufuli wetu.wewe mbaguzi mdini na mkabila kinoma feel ashamed ulichoandika leo! Hii nchi ni yetu sote! Watu wanakusoma humu na kuona how hollow is ur skull!
halafu mshikaji anakaa muumini wa Gwajima! Pata picha yule mwenye picha za ngono akila muumini wake! 🤣 🤣 ☝️Nimeshangazwa na kauli zake za kichochezi
leta evidence pimbi wewe! nimesema Gwajima ni fadhila za JPM na ni kweli alishindwa kura za maoni CCM akapitishwa! Uongo?Mzee wewe umeaza kumkashifu Magufuli mtu aliyekufa. Hivi unajiona ukosawa. Mpimbavu wewe. Achana na Magufuli wetu.
Hizo siyo kauli za kichochezi ni ukweli!? Kuna Kimeta kililetwa kupitia barua lengo kuwafuta watufulani.Nimeshangazwa na kauli zake za kichochezi
nyie ndio mnaeneza kuhusu Sukuma Gang. Mnawatukana watu wa kanda ya Ziwa. Unadhani hatuwaoni. Mnataka kuipoteza legacy ya Magufuli.leta evidence pimbi wewe! nimesema Gwajima ni fadhila za JPM na ni kweli alishindwa kura za maoni CCM akapitishwa! Uongo?
wacha ufalamanga wewe! Unatoa povu la kijuha!Hizo siyo kauli za kichochezi ni ukweli!? Kuna Kimeta kililetwa kupitia barua lengo kuwafuta watufulani.
Mzee achana na Mimi. Kwanini unanitafuta Mzee. Mambo ya imani ni hiari yangu. Wewe endelea na genge lenu la Muislam.halafu mshikaji anakaa muumini wa Gwajima! Pata picha yule mwenye picha za ngono akila muumini wake! 🤣 🤣 ☝️
Basi mzee wasamehe




