ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
nyie ndio mnaeneza kuhusu Sukuma Gang. Mnawatukana watu wa kanda ya Ziwa. Unadhani hatuwaoni. Mnataka kuipoteza legacy ya Magufuli.
Magufuli hayupo mbona unaendelea kumwongelea!? Unadhani nyie Wazanzibar mtaichukua Tanganyika.
Achana na Magufuli kabisa. Udini wako huo utakumaliza.
Hii mada iacheni ina mambo mengi sana yakufkiria naomba tuiache tuendelee na mada zingine, kila mmoja anafikra zake na mtazamo wake lakini pia kwa upande mwengine gwajima alitoa kama tahadhari kwa serekaliwacha ufalamanga wewe! Unatoa povu la kijuha!
Naomba tuachane na hii mada tafadhal nikiwa kama mwenyekiti 🙏🙏🙏🙏🙏
