Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu ipambane na jimbo la kawe kwa Dar maana tukisema DAR yote utakua utani...kawe moja inawezana na kisumu city infact kisumu hata sio city ni kijiji fulani kikubwa hv
Kama Dar ilivyo, kijiji fulani cha wavuvi kikubwa hivi.,
 
t




Tafauti ya kenya na Tanzania ni hii Kenya Main Airport ni moja kwa tourist and business .But Tanzania ni 3 Airports for business JNIA(Dar es Salaa,m ,KIA(Kilimanjaro) and Zanzibar.Hivyo lazima idadi iwe ndogo kilingana na ,mgawanyiko.
yaani wewe kichwa kimejaa meno na kamasi tu! ebu jumulisha hizo airport za bongo zote kisha ulinganishe idadi ya wasafiri na JKIA

1627300210004.png
 
Back
Top Bottom