eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,803
- 16,475
Kenya is safe because of these men.
View attachment 1868657View attachment 1868658View attachment 1868660View attachment 1868661
Bwa hahahahahaha haaaa
Kenya is safe because of these men.
View attachment 1868657View attachment 1868658View attachment 1868660View attachment 1868661
Muda si mwingi nyuma wakulungwa wa Kaskazini walkua wanapost haya mabus wakidhani yapo kwao tu.
Hapo umesema ukweli yani jamaa wamejengewa upupu na bado wanaringa hapa[emoji1787][emoji1787]Hawa jamaa dawa yao ni kwenda aerial tu, si vile vipicha vya chini chini za nyumba moja.
Unamaanisha huu upupu mkuuSema yote tisa Ila hii airport haina mpinzani hapa Afrika mashariki na Kati.
View attachment 1869242View attachment 1869243View attachment 1869245View attachment 1869246View attachment 1869247View attachment 1869248View attachment 1869250View attachment 1869251View attachment 1869252
Km unataka ku zoom sema usaidiwe[emoji1787] [emoji1787][emoji1787]slums SI Unit
Kunyaland. Kama zizi la Nguruwe. Kabul Afghanistan
View attachment 1869042View attachment 1869044
Zizi la nguruwe 🤣 🤣🤣Km unataka ku zoom sema usaidiweView attachment 1869295
Unamaanisha huu upupu mkuuView attachment 1869291
Kwanini mnapenda picha za juu.? 😂😂😂 vitu kwa ground havieleweki, out dated airport unataka shindanisha na modern international airport .? are you fucking serious.?Km unataka ku zoom sema usaidiweView attachment 1869295
Those are not slums you fool, here is a better view of the place you circled😂🤣👇👇🤣 🤣🤣slums SI Unit
Kunyaland. Kama zizi la Nguruwe. Kabul Afghanistan
View attachment 1869042View attachment 1869044
WTF ..is this ...A380 Haikuepo in 1990s wewe...acha mambo yako....A380 ni 21st Centrury planeAir bridge is not an issue, in 2008 when that airplane landed in JNIA did you have the air bridge? The same Airbus a380 also landed in entebbe airport in 1990's so air bridge is not a factor. For your information JKIA also have air bridges.
Ngoja nikupe siri moja zamani watu walikuwa wakijenga airports kwa mtindo huo wa circle kwa ajili ya kusave space especially kwenye apron ili ndege nyingi zipark kwa wakati mmoja ila nowadays hawajengi hivyo tena wanajiachia ni kama mtindo flani kwa sasa uko out of fashion nakupa homework nenda kaangalie new airports na new Terminals huko kwa wenzetu hawajengi tena kwa mtindo huo!!!Punguzeni ushamba.Km unataka ku zoom sema usaidiweView attachment 1869295
Tulia dawa iingieThose are not slums you fool, here is a better view of the place you circled[emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 1869311
Aloo hawa jamaa waongo sana kuna mmoja kasema B737 inabeba more than 300pax dahWTF ..is this ...A380 Haikuepo in 1990s wewe...acha mambo yako....A380 ni 21st Centrury plane
Hii hapaNgoja nikupe siri moja zamani watu walikuwa wakijenga airports kwa mtindo huo wa circle kwa ajili ya kusave space especially kwenye apron ili ndege nyingi zipark kwa wakati mmoja ila nowadays hawajengi hivyo tena wanajiachia ni kama mtindo flani kwa sasa uko out of fashion nakupa homework nenda kaangalie new airports na new Terminals huko kwa wenzetu hawajengi tena kwa mtindo huo!!!Punguzeni ushamba.
Ujenzi wa circle unasaidia kutoa matoleo mengi ya bridges na kusaidia kupaki ndege nyingi kwa wkt mmoja!!!Ila dunia imebadilika siku hizi hawajengi namna hiyo tena.Fanya utafiti utaniambia.Ngoja nikupe siri moja zamani watu walikuwa wakijenga airports kwa mtindo huo wa circle kwa ajili ya kusave space especially kwenye apron ili ndege nyingi zipark kwa wakati mmoja ila nowadays hawajengi hivyo tena wanajiachia ni kama mtindo flani kwa sasa uko out of fashion nakupa homework nenda kaangalie new airports na new Terminals huko kwa wenzetu hawajengi tena kwa mtindo huo!!!Punguzeni ushamba.
Yap!!! Airport zote mpya ma-architecture wanajiachia sana na design tofauti tofauti circle ni mtindo wa kale!!!Ndo maana Terminal yetu 3 ni one of a kind Afrika Mashariki na kati.Waache waseme!!!Hii hapa
Beijing Capital International Airport - China
View attachment 1869367
View attachment 1869369
Nitag wakikujibuKuna baadhi ya Wakenya wanapatwa na wivu sana na uchungu mkali mno tunavyoshusha vitu classic!!!Mi nikajua kwa sababu GDP yao kubwa na wenyewe wata-adopt kushusha vitu classic mwisho wa siku wameendelea kujenga vitu vya ajabu ajabu tu mfano ni BRT,wananunua mitumba ule mtumba kutoka Spain, Bado wanaweka rehani nchi kwa Mchina,wamekuwa wakopaji wakubwa kila uchao sasa mimi najiuliza hivi hiyo GDP yenu kubwa pesa yake ina-reflect wapi!!! Huduma za kijamii hovyo kbs!!!!